club

A club is an association of people united by a common interest or goal. A service club, for example, exists for voluntary or charitable activities. There are clubs devoted to hobbies and sports, social activities clubs, political and religious clubs, and so forth.

View More On Wikipedia.org
  1. TODAYS

    Kwanini Eng. Hersi hatakiwi Yanga kwa Sasa? Jibu Hili Hapa

    Nakumbuka toka mwaka 1995 kuna huyu mzee Juma Magoma amekuwa na migogoro ndani ya club ya Yanga Afrika. Huyu mzee Magoma anadai anaipinga katiba ambayo alikuwepo na kukubali ipitishwe, ila ameonekana anatengwa kwenye meza ya mfalme, wakati wa uongozi ndg George Mpondela aliwahi kuleta vurugu...
  2. valet de chambre

    Libya 1 Football Club

    Wakuu shalom. Nawasikiliza wachambuzi wa tv zetu hizi za mtandaoni wanaijadili timu inaitwa Libya 1 kuwa timu mpya na ngeni hivyo Simba ana nafasi ya kusonga mbele. Hivi Kuna hili timu Libya? Nimegoogle sijaipata nisaidieni wakuu.
  3. Ziroseventytwo

    Ningekuwa na maamuzi kwenye club ya Simba, ningemuondoa msemaji wa club ya Simba, Ahmed Ally

    Inasemwa kwamba kazi ya afisa uhusiano ndio kazi ngumu kabisa huku duniani. Kazi hii inahitaji mtu mwenye uelewa wa mambo haswa yale ambayo atakuwa akiwashirikisha watu kuhusu kampuni, taasisi na mashirika ambayo ndio anafanyia kazi. Kwa mfano. Afisa uhusiano wa jeshi la polisi. Msemaji wa...
  4. GENTAMYCINE

    Saido Kanoute anasubiria nini kupewa 'THANK YOU' Simba Sports Club? Aachwe upesi sana tafadhali.

    Nimecheza mpira na naujua mpira na nauchambua mpira pia Saido Kanoute si Mchezaji wa Hadhi ya Simba SC yetu. ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya...
  5. L

    Asante sana Saido Ntibazonkiza for making good to the club

    Niko Wizarani nafuatilia kuhusu ukweli wa transformation ya Simba umekomea wap zaidi ya mwaka wa tatu sasa, nakutakana na Thank you ya Saido Ntibanzokiza. Kwangu anabakia kuwa Shujaa ndani ya Simba, ni mchezaji ambaye ametoa mchango mkubwa sana ndani ya klabu yetu kuliko mchezaji yoyote yule...
  6. Tajiri Tanzanite

    Ukubwa wa club sio mwaka wa uanzishwaji bali ni ukubwa na ubora wake katika bara lake

    Hapo vip! Ukubwa wa club yeyote Dunia sio kuwa ya kwanza kuanzisha bali ni ukubwa na ubora wake katika bara lake na nchi yake...tukiangalia kigezo cha uwazishwaji hata huku mtaani kuna timu nyingi za shuleni na vijijini vilianzishwa kabla ya yanga basi tungesema hizo ndio timu kubwa,mfano...
  7. Mpinzire

    Kutokana na sakata linaloendela Simba Sports Club! Naomba mwenye nakala za Katiba ya Simba na Young African tuzipate.

    Binafsi naomba ku declare kuwa mimi mtoa post ni mshabiki wa Young Afican! Lakini kutokana na masuala yanaoyoendelea Simba nimejiuliza sana maswali ambayo kila ninapotaka jibu naona naweza lipata kupitia Katiba yao ya Simba, nikaona ni vyema nije kwa wadau wenxzangu wa michezo kuomba Katiba za...
  8. Richlifepaul_

    Simba Sports Club kuna nini kimejificha?

    @SimbaSCTanzania Muda huu nimekosa usingizi, kwani nalala ili iweje ikiwa baadhi ya watanzania wanamaswali mengi wasiyojua majibu yao. Viongozi wa Simba nani kawaroga kiasi kwamba mnajijali wenyewe na kusahau majukumu yenu? Mr @moodewji na wewe ujui jukumu lako mzee au yamayoendelea...
  9. Suley2019

    Tetesi: Boom: Wajumbe wote wa Bodi ya Simba upande wa Mo Dewji wajiuzulu

    Shaffih anatupa za ndaaani kabisa, anasema Wajumbe wa Bodi ya Simba wamejiuzuru. Nini maoni yako kuhusu move hii kama itakuwa na ukweli PIA SOMA - Tetesi: - Simba inatarajia kumrejesha tena Barbara Gonzalez kwenye Bodi
  10. Superbug

    Mwana JamiiForum Okwi Boban Sunzu ni Shujaa na klabu yetu ya Simba

    Kuna uzi unazunguka humu ukikosoa analysis ya mwanajamiiforum mwenzetu OKW BOBAN SUNZU kuhusu mchezaji Aziza Ki sisi kama wanasimba tunamuona Okwi kama shujaa wetu kwakuwa amepigwa mawe sana na bado ameendelea kuwa stable. Na ule uzi umempa heshima ya kuthaminika tofauti na wakosoaji wake...
  11. sinza pazuri

    Request For Proposals To Provide Consultancy Services at Young Africans Sports Club (“Yanga”) May, 2024

    Request For Proposals To Provide Consultancy Services BACKGROUND Young Africans Sports Club (“Yanga”) founded in 1935 is a professional football club based in Jangwani, Ilala District, Dar es Salaam, United Republic of Tanzania. Renowned fort its historical success, the club has secured a...
  12. mwehu ndama

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005. Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Acha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko Kama unapenda sana night outs, tafuta...
  13. Frank Wanjiru

    Wydad kutoshiriki Club Bingwa msimu ujao

    Ni rasmi Wydad Athletic 🇲🇦 hawatashiriki michuano ya CAF champions league msimu ujao. Wameukosa Ubingwa wa ligi kuu pia wameikosa nafasi ya pili kwenye ligi kuu 🇲🇦 Full — Wydad 0 - 1 FAR Rabat Wydad wasihofu kuna mwenzake walikuwa kundi moja nae atamfuata Shirikisho.
  14. N

    Klabu ya Yanga itakuwa maarufu sana

    habari zenu. Klichotokea ijumaa wengi tulikiona kwenye TV na wengine ambao hawajacheki mpira wameona clip zikitembea kwenye kila social network duniani kote,mjadala mkubwa umekuwa kwanini yanga wanyimwe goli la wazi?? Kumekuwa na mjadala mkubwa kwa wachambuzi duniani kuhusu goli la azizi ki...
  15. Tlaatlaah

    Juma kuu gumu sana la majonzi na vicheko kwa Klabu za soka za Tanzania

    moja, ni timu bora kabisa barani Africa, Simba S.C. hawa jamaa, wana ijumaa moja ngumu sana kiroho na kimwili. Ijumaa ya kushika moyo, huku jua nalo likififizwa na wingu zito la roho ya itakuaje uwanjani, dhidi ya mafarao wagumu na wabishi sana wa misri, ambao hawapendi kabisa nyavu zao...
  16. MamaSamia2025

    Napendekeza tuanzishe JF Jogging Club ya mtandaoni

    Wakuu sio siri kuwa ukivuka miaka 30 kuna mabadiliko ya kimwili lazima uyaone yakikujia kwa kasi ikiwemo kitambi. Kwa wale waliojaliwa riziki kidogo hali huwa mbaya zaidi ndo maana Mzee Janabi anazidi kutoa matamko. Wengi wetu tumekulia kwenye familia duni hivyo huku ukubwani baada ya mambo kuwa...
  17. sanalii

    Club ya vijana wenye tabia njema

    Kama wewe 1. Unamuamini Mungu 2. Unafanya kazi ya halali na kwa bidii kupata riziki 3. Huna imani za kichawi na kishirikina 4. Sio mlevi wa pombe au sigara 5. Umeoa au kualewa na unaiheshimu ndoa yako 6. Unasaidia wenye shida kadri ya uwezo wako 7. Huna husda wala majungu 8. Unajitahidi...
  18. Mfufua Nyuzi

    Biashara ya Night Club Dar imekufa?

    Habari wakuu, Naona siku hizi zile Night Clubs ndani ya jiji la Dar es salaam hazipo tena zimefunikwa/replaced na Bar kubwa kubwa. Mfano hapo nyuma palikuwa na club za mziki mbalimbali mfano Billcanas, Maisha basement, Ambiance n.k Lakini siku hizi zile Nights club zimevunjwa na kugeuzwa...
  19. J

    Mchezaji anaruhusiwa kuondoka na kujiunga club nyingine baada ya kipindi cha usajili kupita?

    Naona Prince Dube ameaga anaondoka Azam, na assume ametimiza masharti aliyotoa Azam, je ataruhisiwa kujiunga na club nyingine wakati dirisha la usajili limefungwa, Januari?
  20. Tajiri Tanzanite

    Yanga ndio timu mbovu kwa sasa kwenye hatua ya robo final club bingwa

    Hapo vip!! Mpira ni mchezo wa wawazi na data hazidanganyi. Kwa tathmini inavyoonyesha yanga ndio timu dhaifu na mbovu kwa sasa katika hatua hii ya robo final club bingwa kwasababu zifuatazo: 1. Ndio timu pekee iliyoingia na point chache na za mwisho kuliko timu zote. 2. Ndio timu inayoongoza...
Back
Top Bottom