Habari, mimi ni mkazi wa Gongo la Mboto Kituo Kipya. Kuna club/bar inaitwa UBENA SPORT CLUB iliyopo karibu na reli ambayo imekuwa ikitusumbua sana sisi wakazi wa eneo hili kutokana na kelele kubwa za muziki.
Muziki wao unapigwa kwa sauti kubwa kiasi kwamba tunashindwa kupata usingizi. Mara...