coastal union

Coastal Union is a Tanzanian football club based in Tanga.They play in the top level of Tanzanian professional football, the Tanzanian Premier League.Their home games are played at Mkwakwani Stadium. And are officially sponsored by Binslum Tyre, Anjari Q, Masamaki Modern Butchares.

View More On Wikipedia.org
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    Steve Mguto, mwenyekiti wa timu ya Coastal Union atungiwa wimbo wa kufukuzwa kwenye timu

    Waswahili walisema akufukuzaye hakwambii toka. Steve Mguto hadi unatungiwa nyimbo, ni wakati wako wa kujitafakari na safari ya carrier yako katika club ya Coastal Union hapo katika jiji la Tanga.
  2. John Haramba

    Zahera kuwa kocha mpya wa Coastal Union, wakutana leo kukamilisha dili

    Picha: kocha, Mwinyi Zahera Mapema leo Jumatano Februari 23, 2022 uongozi wa Coastal Union ya Tanga ulikuwa na kikao cha kukamilisha dili hatua za mwisho ili kuwa kocha wao kuchukua nafasi ya Melis Medo ambaye ametimuliwa kutokana na matokeo mabaya. Pande hizo zimekutana katika hoteli moja...
  3. M

    Coastal union na leo pia muwaombee albadil waliowahujumu dhidi ya Namungo

    Mara nyingi mpira ni mchezo wa wazi Sana Kama timu yako ni mbovu basi ni mbovu tu usitafute kichaka cha kufichia madhaifu yako, leo tena Coastal Union imelambishwa mchanga na namungo goli 3 kwa 1, walipofungwa na yanga wakasema wamehujumiwa sasa na leo wamehujumiwa? Wameshindwa kurekebisha...
  4. GENTAMYCINE

    Haya 'Wachezaji' wa Coastal Union FC 'fungweni' leo na Yanga SC muikose hii Zawadi (Bingo) na muwe 'Masikini' mpaka 'Kufa' Kwenu

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima (mwana Simba SC Mwemzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 20 wakiifunga Yanga SC leo. Mbunge wa Tanga na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Oddo (mwana Simba SC Mwenzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 10 wakiifunga Yanga SC...
  5. GENTAMYCINE

    Mmoja wa Viongozi wa Coastal Union FC: Tayari 'tumeshaiuza' Mechi kwa Yanga SC na hii 'Mikwara' tunayowapiga 'tunazuga' tu

    "GENTAMYCINE nisikudanganye Rafiki yangu na Nisamehe kwa huu Ukweli ila Mechi yetu na Yanga SC tunayocheza Kesho hapa Mkwakwani Stadium Tanga tumeshaiuza kwa Tsh Milioni 40 na Kesho Coastal Union FC tutafungwa Magoli mengi na upo Uwezekano hata baadhi ya Wachezaji wetu wakapata Kadi Nyekundu ili...
  6. Bill

    Ni kwasababu gani mechi ya coastal union na yanga imesitishwa 16/1/2022,??

    Hii mechi ilipangwa Jumapili Mkwakwani Stadium Tanga lakini imeahirishwa. Je nini hakijaenda kama ilivyopangwa? GENTAMYCINE ufafanuzi tafadhali.
  7. OKW BOBAN SUNZU

    Atakayehujumu Coastal Union dhidi ya Yanga kupigwa albadri

    Wazee wa Coastal Union wametoa tamko kwa umma kwamba yeyote atayeihujumu Coastal Union kwenye mechi ya Yanga watamkabidhi kwa Allah. Rai hiyo imetolewa kwa yeyote anahusika kuanzia uongozi wa Yanga, refa wa mchezo, wachezaji na viongozi wa Coastal na mtu yeyote yule. Wazee wamesema watafanya...
  8. Little brain

    Kwanini Coastal Union hawakuingia kwenye chumba rasmi cha kubadilisha jezi?

    Nafahamu kuwa mguto ni kiongozi wa bodi ya league na coastal union pia, lakini kwanini ameruhusu ili jambo?
  9. ESPRESSO COFFEE

    Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

    Coastal Union haijawahi kupata ushindi mbele ya Simba kwenye ligi kuu kwa misimu mitatu mfululizo iliyopita tangu msimu wa 2018/19. Katika mechi sita walizokutana, Simba imeshinda mechi tano na kutoka suluhu mechi tatu, Jumla Ya Magoli 21 Wagosi wa Kaya Wafungwa na simba katika Michezo hii 6...
  10. Replica

    Playoff: Coastal Union 3-1 Pamba (5-3) | Coastal Union yafanikiwa kusalia Ligi Kuu Tanzania Bara

    Timu ya ligi kuu, Coastal Union leo inacheza mechi ya marejeo na timu kutoka daraja la kwanza inayojaribu tena kurudi ligi kuu, Pamba ya Mwanza. Mechi iliyopita walitoka sare ya magoli 2-2 na mshindi yeyote wa mechi ya leo anaweka mguu ligi kuu. ======== 00' Mpira unaanza hapa uwanja wa...
  11. B

    Agizo la mikusanyio la RC Mwanza lakwama mechi ya Pamba fc vs coastal Union au lilikuwa la kibaguzi

    Alizuia mikusanyiko ili kuwalinda wananchi na covid na amefanikiwa kuzuia mkutano wa Chadema ambao usingezidi watu 200 lakini kaachia mechi la Pamba vs coastal watu walijaa hatari.
  12. Ghazwat

    Simba SC Vs Coastal Union (2-0)| Simba yatwaa Ubingwa msimu wa 2020/21

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL, Kuendelea kupigwa leo July 11, 2021 ambapo Mnyama Mkali, Simba SC, wanawakabili Wagosi wa Kaya, Coastal Union, kunako Dimba la Mkapa Jiji Dar es salaam. Mchezo ni mgumu kwa pande zote mbili, kwani Simba SC inasaka alama tatu au...
Back
Top Bottom