collabo

  1. ukwaju_wa_ kitambo

    Leo tunaangalia nyimbo 3 alizofanya kama collabo msanii, Alicia keys

    ALICIA KEYS Leo ' tunaangalia nyimbo 3 alizofanya kama collabo msanii, Alicia keys Ni ipi kali zaidi hapa? A. 50 Cent - New Day ft. Alicia Keys, Dr. Dre. B. Empire state of mind (feat. alisha keys) ft Jay Z. C. Eve - Gangsta Lovin' ft. Alicia Keys. #funguka
  2. W

    Baadhi ya Collabo za Kimataifa za Diamond Platnumz zilizopeperusha bendera ya Tanzania

    Ni suala lililo wazi kuwa msanii Diamond Platnumz ndiye msanii anayeiwakilisha muziki wa Bongo Fleva kimataifa ambapo kupitia nyimbo zake Diamond ameweza kupenya na kujulikana katika mataifa mbalimbali ikiwemo Nigeria, Kenya, Ghana, Uganda na mataifa mengine mengi. Kushinda tuzo kama MTV EMA za...
Back
Top Bottom