Mbona kwenye ile nchi ya Colombia utapeli na kutojali ni kama vile sehemu ya maisha karibu kila nyanja?
Kwa mfano, mtu ametoka jimbo moja kwenda jimbo lingine kutazama mechi ya dabi, amekata tiketi ya kutazama, mwisho wa siku mechi inahairishwa. Huu ni utapeli kama utapeli mwingine kwa sababu...
Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amesema biashara ya kokeini inaweza kudhibitiwa kwa urahisi ikiwa dawa hiyo itahalalishwa duniani kote, kwakuwa dawa hiyo si mbaya zaidi kuliko whisky.
Katika mkutano wa mawaziri uliorushwa moja kwa moja, Petro amesema Kokeini ni haramu kwa sababu inatengenezwa...
Historia ya mmoja wa wezi waliotikisa ulimwengu ni ile ya Pablo Escobar, ambaye alikuwa muuzaji mkubwa wa dawa za kulevya na kiongozi wa genge la Medellín Cartel huko Colombia. Escobar aliathiri sana siasa, uchumi, na jamii ya Colombia na ulimwengu mzima kwa jumla.
Pablo Emilio Escobar Gaviria...
Raisi Gustavo Petro ameonesha kutoamini kinachoendelea Gaza mbele ya mataifa makubwa yanayojinadi kusimamia utawala bora wa kidemokrasia.
Hata hivyo mbele ya mshangao wake raisi huyo alipata jawabu kwa kusema,hayo yanayotokea ni kutokana na kuwa wamiliki wengi wa mabenki na taasisi za kifedha...
Baada ya nchi tatu za Ulaya kuamua kuitambua Palestina rasmi kama taifa sawa na mataifa mengine duniani,nchi ya Colombia imepiga hatua zaidi kwa kuamua kufungua ubalozi kabisa mjini Ramallah.
Nchi zilizoamua kuachana na ukiritimba wa Ulaya na kuamua kuitambua Palestina ni Ireland Spain na...
Habari Wakuu,
nimeona nisiwe mnafiki kuwahabarisha mapema juu ya ujio wa huyu Miquissone mwingne aliyechangamka asije mkasema ohhh wana JF nyie ni watafiti mmeshindwa kufatilia Data za huyu mtu mkatuambia mapema tusiweke tumaini hewa juu ya huyu mtu.
Hii "Colombia invasion" itakuja kumuingiza...
Kwenye Serikali ya Jakaya Kikwete nilitembea sana na nikafika nchi niliyokuwa na hamu nayo sana kufika ili nijionee ukweli wa hali halisi, Colombia.
Nilifika Bogota nilikaa siku 14 baadae nikaenda miji ya Cartagena na Medellin, aisee zile muvi za kihuni za Marekani nilifikiri ni uongo, kumbe...
Adres Felipe Ballesteros mzaliwa wa Colombia Bogota mwenye umri wa miaka 36 alikamatwa hapa nchini Tanzania mnamo August 2014 kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine akiwa amezifich kwenye pindo la suruali na kete nyingine akiwa amemeza.
Adres Felipe Ballesteros ni Baba wa watoto...
Mbali na askari hao pia, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini humo, Jenerali Jorge Luis Vargas ameagiza Kanali wa Polisi Benjamín Núñez atafutwe na akamatwe kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya vijana watatu.
Askari waliokamatwa wanadaiwa kuwapiga risasi na kuwaua vijana watatu wakiwa chini ya ulinzi...
Mei 25, 2022, huko Putumayo, Colombia, trampoline ya kifo ni moja ya barabara hatari zaidi duniani, inaanzia kutoka Mocoa hadi San Francisco na ilijengwa mwaka 1930. Watu wengi walikufa wakiwa wanaendesha magari kwenye barabara hiyo.
Polisi Nchini Haiti wamesema Kikosi kilichoundwa na Wanajeshi wastaafu wa Colombia 26 na Wamarekani wawili wenye asili ya Haiti kilimuua Rais Jovenel Moïse.
Kwa mujibu wa Mamlaka, Moïse alikutwa na majeraha 12 ya risasi na alifariki dunia eneo la tukio. Mke wake aliyejeruhiwa vibaya alipelekwa...
Rais Iván Duque ameondoa Muswada tata wa mageuzi ya Kodi kufuatia maandamano makubwa yaliyodumu Nchini humo kwa siku nne
Awali alisisitiza ongezeko la Kodi lilihitajika ili kukabiliana na mdororo wa kiuchumi lililosababishwa na mlipuko wa Virusi vya Corona, uamuzi ambao uliwakasirisha wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.