colombia

Colombia ( (listen) kə-LUM-bee-ə, -⁠LOM-; Spanish: [koˈlombja] (listen)), officially the Republic of Colombia (Spanish: República de Colombia ), is a country in South America with territories in North America. Colombia is bounded on the north by the Caribbean Sea, the northwest by Panama, the south by Ecuador and Peru, the east by Venezuela, the southeast by Brazil, and the west by the Pacific Ocean. It comprises 32 departments and the Capital District of Bogotá, the country's largest city. Urban centres are concentrated in the Andean highlands (such as Bogotá, Medellín, and Cali) and the Caribbean coast (such as Barranquilla and Cartagena).
With over 50 million inhabitants, Colombia's rich cultural heritage reflects influences by various Amerindian civilisations, European settlement, forced African labour, and immigration from Europe and the Middle East. Descendants of these groups and mixes between them define the population. Spanish is the official language and the native language of the vast majority of citizens, but over 70 languages are spoken within the country. Roman Catholicism is the majority religion.
Colombia has been inhabited by various indigenous peoples since at least 12,000 BCE, including the Muisca, Quimbaya, and the Tairona. The Spanish landed first in La Guajira in 1499 and by the mid-16th century colonized parts of the region, establishing the New Kingdom of Granada, with Santafé de Bogotá as its capital. Independence from the Spanish Empire was achieved in 1810, with what is now Colombia emerging as the United Provinces of New Granada. The new nation experimented with federalism as the Granadine Confederation (1858), and then the United States of Colombia (1863), before the Republic of Colombia was finally declared in 1886. Panama seceded in 1903, leading to Colombia's present borders. Beginning in the 1960s, the country suffered from an asymmetric low-intensity armed conflict and political violence, both of which escalated in the 1990s. Since 2005, there has been significant improvement in security, stability, and rule of law, as well as unprecedented economic growth and development.Colombia is one of the world's 17 megadiverse countries and has the second-highest level of biodiversity in the world. Its territory encompasses Amazon rainforest, highlands, grasslands, and deserts, and it is the only country in South America with coastlines and islands along both the Atlantic and Pacific.
Colombia is considered a regional actor in international affairs, being a member of major global and regional organisations including the United Nations, the World Trade Organization, the Organisation for Economic Co-operation and Development (OECD), the Organization of American States, the Pacific Alliance, the Andean Community, and a NATO Global Partner. Colombia's diversified economy is the third largest in South America, with macroeconomic stability and favorable long-term growth prospects.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Utapeli wa mpaka sekta ya michezo Colombia

    Mbona kwenye ile nchi ya Colombia utapeli na kutojali ni kama vile sehemu ya maisha karibu kila nyanja? Kwa mfano, mtu ametoka jimbo moja kwenda jimbo lingine kutazama mechi ya dabi, amekata tiketi ya kutazama, mwisho wa siku mechi inahairishwa. Huu ni utapeli kama utapeli mwingine kwa sababu...
  2. Rais wa Colombia apendekeza Cocaine kuhalalishwa duniani kote

    Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amesema biashara ya kokeini inaweza kudhibitiwa kwa urahisi ikiwa dawa hiyo itahalalishwa duniani kote, kwakuwa dawa hiyo si mbaya zaidi kuliko whisky. Katika mkutano wa mawaziri uliorushwa moja kwa moja, Petro amesema Kokeini ni haramu kwa sababu inatengenezwa...
  3. I

    Historia ya Pabro Escobar aliye tikisa vyombo vya dola vya Colombia

    Historia ya mmoja wa wezi waliotikisa ulimwengu ni ile ya Pablo Escobar, ambaye alikuwa muuzaji mkubwa wa dawa za kulevya na kiongozi wa genge la Medellín Cartel huko Colombia. Escobar aliathiri sana siasa, uchumi, na jamii ya Colombia na ulimwengu mzima kwa jumla. Pablo Emilio Escobar Gaviria...
  4. Gustavo Petro, Rais wa Colombia ashangaa kuona mataifa makubwa ya kidemokrasia yakishindwa kuizuia Israel kuua watu Gaza

    Raisi Gustavo Petro ameonesha kutoamini kinachoendelea Gaza mbele ya mataifa makubwa yanayojinadi kusimamia utawala bora wa kidemokrasia. Hata hivyo mbele ya mshangao wake raisi huyo alipata jawabu kwa kusema,hayo yanayotokea ni kutokana na kuwa wamiliki wengi wa mabenki na taasisi za kifedha...
  5. Colombia kufungua ubalozi wake Palestina mjini Ramallah

    Baada ya nchi tatu za Ulaya kuamua kuitambua Palestina rasmi kama taifa sawa na mataifa mengine duniani,nchi ya Colombia imepiga hatua zaidi kwa kuamua kufungua ubalozi kabisa mjini Ramallah. Nchi zilizoamua kuachana na ukiritimba wa Ulaya na kuamua kuitambua Palestina ni Ireland Spain na...
  6. Mchezaji kutokea Colombia anayetarajiwa kusajiliwa na Simba ni Galasa wa kutupa

    Habari Wakuu, nimeona nisiwe mnafiki kuwahabarisha mapema juu ya ujio wa huyu Miquissone mwingne aliyechangamka asije mkasema ohhh wana JF nyie ni watafiti mmeshindwa kufatilia Data za huyu mtu mkatuambia mapema tusiweke tumaini hewa juu ya huyu mtu. Hii "Colombia invasion" itakuja kumuingiza...
  7. Nitarudi tena Colombia

    Kwenye Serikali ya Jakaya Kikwete nilitembea sana na nikafika nchi niliyokuwa na hamu nayo sana kufika ili nijionee ukweli wa hali halisi, Colombia. Nilifika Bogota nilikaa siku 14 baadae nikaenda miji ya Cartagena na Medellin, aisee zile muvi za kihuni za Marekani nilifikiri ni uongo, kumbe...
  8. Mfahamu Andreas Felipe Ballesteros Uribe Raia wa Colombia aliyekaa Keko mahabusu miaka 8 kwa kesi ya dawa za kulevya

    Adres Felipe Ballesteros mzaliwa wa Colombia Bogota mwenye umri wa miaka 36 alikamatwa hapa nchini Tanzania mnamo August 2014 kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine akiwa amezifich kwenye pindo la suruali na kete nyingine akiwa amemeza. Adres Felipe Ballesteros ni Baba wa watoto...
  9. Askari 10 wakamatwa kwa mauaji ya watuhumiwa Colombia

    Mbali na askari hao pia, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini humo, Jenerali Jorge Luis Vargas ameagiza Kanali wa Polisi Benjamín Núñez atafutwe na akamatwe kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya vijana watatu. Askari waliokamatwa wanadaiwa kuwapiga risasi na kuwaua vijana watatu wakiwa chini ya ulinzi...
  10. L

    Tembelea moja ya barabara hatari zaidi duniani: Ajali nyingi za magari hutokea kwenye 'Death trampoline' nchini Colombia

    Mei 25, 2022, huko Putumayo, Colombia, trampoline ya kifo ni moja ya barabara hatari zaidi duniani, inaanzia kutoka Mocoa hadi San Francisco na ilijengwa mwaka 1930. Watu wengi walikufa wakiwa wanaendesha magari kwenye barabara hiyo.
  11. Polisi wa Haiti wasema Kikosi cha Wanajeshi Wastaafu wa Colombia kilimuua Rais

    Polisi Nchini Haiti wamesema Kikosi kilichoundwa na Wanajeshi wastaafu wa Colombia 26 na Wamarekani wawili wenye asili ya Haiti kilimuua Rais Jovenel Moïse. Kwa mujibu wa Mamlaka, Moïse alikutwa na majeraha 12 ya risasi na alifariki dunia eneo la tukio. Mke wake aliyejeruhiwa vibaya alipelekwa...
  12. Serikali ya Colombia yafuta Muswada wa ongezeko la kodi baada ya maandamano makubwa ya siku nne

    Rais Iván Duque ameondoa Muswada tata wa mageuzi ya Kodi kufuatia maandamano makubwa yaliyodumu Nchini humo kwa siku nne Awali alisisitiza ongezeko la Kodi lilihitajika ili kukabiliana na mdororo wa kiuchumi lililosababishwa na mlipuko wa Virusi vya Corona, uamuzi ambao uliwakasirisha wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…