Mwanaharakati huru Cyprian Musiba akitoa maoni yake kuhusiana na uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
"Freeman Mbowe sio tough (mgumu) vile, sababu Mbowe mnaweza mkazungumza, Wenje mnaweza mkazungumza na mambo yakaenda na mkapeleka nchi yenu mbele."
"Lakini wale jamaa...
Tathmini yangu inaonesha Aziz K hakuonekana hatari kipindi Mayele amesimama kama lone striker lakini baada ya Mayele kuondoka Combination bora ilozakiwa yaani Aziz K, Max, Mzize na Mudathir.
Sasa turujee Ujio wa Dube na Chama utaona kama vile space ya Aziz kucheza imepunguzwa.
Gamond rudisha...
Ujio wa Chama utaleta mabadiliko makubwa.
Ni Gamondi mwenyewe kuamua atumie mfumo Gani?
Comb ya PCM , pacome, Chama, Max.
Au kihasibu tuseme Yanga tumefuzu Kwa CPA.
CPA Chama Pacome Aziz ki.
Mbumbumbu Kwa combination hii mtakula za kutosha dadek.
Shukran Kwa Eng Hersi Said.
.yanga bingwa tena.
Nina ndugu yangu kapata matokeo haya HIST-D GEO-C BIO-C ENGL-D CIV-C CHEM-C LITE-D KISW-C MATH-D
Amepata Division III Point 23 hajasomea PHYSICS na amepangiwa chuo cha Human Resources Management hataki kwenda Chuo Je, aende Advance kwa Combination gani?
Msaada jamani.
Wewe ni mwanafuni unayejiandaa kwenda kidato cha 5 ukiwa na ndoto ya kusoma tahasusi fulani, lakini unajikuta umepangiwa tahasusi tofauti na matarajio yako, na wakati mwingine unapangiwa tahasusi uliyochagua lakini kutokana na sababu mbalimbali unafikia maamuzi ya kubadili tahasusi hiyo, je...
Kijana amemaliza form four na pass za Phy C, Biology B, Chem A, na Maths Chaguo la kwanza aliomba Pharmacy, Chaguo la pili aliomba vyuo vya ufundi.
Sasa amepangiwa kwenda Advance PCM. Imekaaje hii wakuu ukizingatia hakupenda kwenda Advance kabisa.
Pia soma:
~ TAMISEMI wafafanua kinachopelekea...
Mbaya zaidi dogo hakuomba combination yoyote ya arts katika maombi yake ya uchaguzi (selform)..... machaguo yOte matano ye ni PCM, PCB AU CBG.
Kijana amepambana kwenye shule yake ya kata hadi amefikia hapo ili ndoto zitimie halafu mnataka kumsumbua na kumuathiri kisaikolojia kama hivyo.
Najua...
Suala la serikali kuingiza udini kwenye elimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekano serikali ikazifutilia mbali kwani utekelezaji wa hizi tahasusi tayari umeishaanza kuleta mkanganyiko miongoni mwa...
INATAFSIRI kiwango kidogo kiasi cha viongozi wasomi kubuni na kuweka combination za dini ,ili mtoto akae miaka 2 darasani akisoma, islamic, divinity ,au lugha ngeni kwa nchi kama Tanzania, ilibidi wanyang'anywe vyeti vyao na vyuo huska (academic certificate ), wafukuzwe KAZI, na kama walikuwa...
Habari wa kuu ,
Nmeona combination mpya zimeongezwa ili kuwapa uwanja mpana wanafunzi wa advance lakini naona hazija ongeza kitu kwa wanafunzi wa sayansi zaidi ya computer.
Kwa maono yangu tungepata combination zifuatazo
1. Math, Physics And Chinese
2. Physics, Chemistry and Russian or...
Habari wa kuu ,
Nmeona combination mpya zimeongezwa ili kuwapa uwanja mpana wanafunzi wa advance lakini naona hazija ongeza kitu kwa wanafunzi wa sayansi zaidi ya computer.kwa maono yangu tungepata combination zifuatazo
1.math, physics and Chinese
2.physics, chemistry and Russian or arabic...
Nimeona wameongeza combi nyingi sana kwenye kwenye elimu ya advance jambo zuri ila lina ubaya wake pia
Niende kwenye mada nchi yetu sio ya kidini yaani haifungamani na dini yeyote ile sasa serikali kwanini imeweke masomo ya dini ya kiislam na kikristo kwenye mtaahala ni kurudisha...
Lengo ni nini? Haya maamuzi yamefanyika kwa kushirikisha wataalamu kweli? Tunakusudia kujenga taifa la aina gani? Mtu akisoma Physics, Kiswahili na Economics (PKE) anaadaliwa kuwa nani? Au anayesoma Chemistry, Comerce na Mathematics (CCM) mnamuandaa kuwa nani kama sio kuwa chawa?
Nadhani idadi...
Mimi ni mwanafunzi kidato cha tano PCB anayetaka kubadilisha combination kutoka PCB kwenda PCM. Nimejaribu kuongea na mkuu wa shule amesema nimechelewa kwa kuwa sasa hivi wameshaenda mbali, naomba msaada nifanyeje? vipi kama naweza kusoma mathematics mwenyewe kucover hizo topics?
Hiki kikosi cha Super eagles ndio kikosi bora cha Muda wote.
Algeria walijaribu kukaza mpaka nusu fainali ya WC ila ubora wao haujawafikia hawa jamaa
Waulize Spain walivyokandwa kwenye world cup 1998.
Hivi Simba mnajuwa kinachoendelea Yanga?
Picha inaweza kuongea zaidi, kipande cha cream ya Asec mimosa Kipo Yanga.
Wanaojuwa mpira kuna kitu mtakigunduwa hapa maana halisi ya kusajili na kukurupuka.
Set ya Wacongo ililipa, je set ya Asec Mimosa tutalajie nini?
Tukutane kesho kwa Mkapa Lupaso...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.