Habari za muda huu wakuu
Mdogo wangu alimaliza kidato cha nne mwaka jana ambapo ndiyo wamepangwa kidato cha tano. Amepangiwa Combination ya HKL badala ya CBG aliyoitaka na shule alipangiwa zipo combi za sanaa tu, HKL, HGL na HGE. Je, mchakato wa kuhamia shule yenye combine hiyo ukoje?
Msaada
Habari wana JF Afya!
Jana katika soko fulani nikakutana na jamaa anauza powerbank, mchanganyiko wa nazi, karanga, na muhogo kwa ajili ya mambo yetu yale.
hizi ukila zinakua ni za muda mrefu au unajibust kwa muda tu...???
vipi ukila alafu usikutane na mwenza wako madhara yake ni yapi..?
Habari za muda huu wakuu. Nina sanduku linatumia combination lock system, bahati mbaya nime sahau hizo code namber.
Najua humu kuna watu walisoma topic ya Permutation katika advanced maths enzi hizo, sijui sasa kama bado ipo. Tafadhali naomba usaidizi wenu au 'tricks' za kufungua sanduku...
Just thinking from unbeaten utopolo mindset ninaona kabisa iwapo Yanga tukimchukua Sopu acheze nyuma ya Mayele pembeni yao Musonda hata Barcelona wanakaa! Huu utakuwa utatu kama MSN wa Barca au Liverpool Firminho, Salah na Mane!
Mpira ni magoli alisema Pele haiwezekani tuwe na straika Kali tatu...
Habari za mchana Wana Jf.
Kuna mdogo wangu amefaulu kidato cha Nne nataka nimbadilishie shule na combination alizochagua awali huko Shuleni baada ya yeye kuja na mapendekezo mapya
Muda sasa tokea mwaka 2018 umekuja utaratibu mpya wa online unao muwezesha mwanafunzi kubadilisha shule ...
👇👇
Tazama siasa inayopigwa na hawa mabwana then njoo uniambie nafasi ya Upinzani iko wapi kwa sasa.
👇👇
KINANA NA SHAKA WATEMBELEA SHAMBA LA MBEGU BORA ZA MAHINDI WILAYANI MISENYI
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea...
Ule mzuka wa outarra kwangu umeshuka kabisa nilidhani labda sababu yeye na Inonga wanaongea kifaransa itakuwa rahisi kuwasiliana kumbe ni hovyo kabisa.
Outarra ana mazuri yake lakini akipitwa nusu hatua tu kwisha kazi yake ujue nyavu zinaenda kutikisika sijui ni mzito ama nini, agh?
Hata kama...
Bi Khadija alimfundisha Mh. Rais Hesabu na Kiingereza alipokuwa form two/three.
Je, huyu Mwl Khadija alisomea combination gani mpaka akaja kufundisha Hesabu na Kiingereza?
Habarini wakuu,
Hongereni kwa mliochaguliwa kujiunga na kidatChcha tano, kikubwa tusiishi na historia, Kama ulipata division one O - level jipange upya ukatafute one nyingine ila hakuna uhusiano kati I ya performance ya O level na advance, unaweza ukakuta aliyepata three O level akawa...
Wadau kwema
Toka waziri wa Tamisemi atoe Tangazo la kubadilisha mchepuo ya kidato cha nne ulifanya kazi siku moja tu na iligoma gafla kabla ya kumaliza kubadilisha baada ya hapo haikubali tena,wametoa no za simu +255 216 0210 ukipiga imefungiwa email hawajibu wakati wamesema mwisho wa kubadili...
Mechi 3 bao 0 yaani ufungi bao dakika 270 kwenye mpira haya ni maajabu kwa timu inayotetea ubingwa.
Wachezaji hawajitumi Wala hawana Hali kabisa ukiwatazama usoni.
Pamoja na kuuza wachezaji wawili ila Simba Kuna tatizo la kiufundi kwani Kuna mechi nyingi msimu ulioisha chama alikuwa amefiwa...
Wadau nina mtoto anaenda form five PCM, mimi mzazi natakiwa kumnunulia vitabu, ninachojua ni Nelkon kwa physics. Je, vingine vizuri ni vya aina gani wakuu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.