Maisha kwasasa yamekuwa so boring and stressful.
Nadhani ndio maana industry ya comedy inaonekana kukua sana siku za hivi karibuni.
Je, kwako ni Comedian gani bora unayependa kumsikiliza au kumwangalia.
Any recommendations.
Kama kichwa ha habari kinavojieleza hapo juu, msaada tafadhali.
Tunaeleka mwaka wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge pamoja na madiwani. Ipo haja sasa kwa Watanzania kukaa na kupima licha ya kwamba Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuweka wazi kabisa katika Ibara zake kuwa kigezo cha...
Mchekeshaji Idriss Sultan wa Tanzania anashikiliwa na polisi tangu Jumanne wiki hii.
Wakili wa mchekeshaji maarufu nchini Tanzania Idriss Sultan ameiambia BBC kuwa msanii huyo anahojiwa na polisi juu ya 'kuicheka picha ya Rais John Pombe Magufuli'.
Kwa mujibu wa wakili Benedict Ishabakaki...
Kila nikiingia Youtube ni lazima nimfuatilie huyu jamaa anayejiita Njugush, comedy zake zinanibamba sana. Wengine ninaowapenda ni MCA Tricky, Henry Desagu na Jaymo Ule Msee.
Hongera sana Wakenya.
Habari za muda huu wakuu. Natumai mu wazima. Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa Stand up comedy hasa Tanzania,Kenya na baadhi ya mataifa kama Nigeria na pia marekani.
Hawa ndio 5 bora kwangu
1: Trevor Noah- South Africa/USA
2: Patrick salavdo - Uganda
3: Sleepy David - Kenya
4: Profesor Hammo - Kenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.