Mwenyekiti wa Bodi KMC na Meya wa Kinondoni, Songoro Khamis Mnyonge, amesema uwanja wao wa KMC Complex, umekamilika kwa asilimia 95 na matamanio yao kwa sasa ni kuufunga Camera, Taa pamoja na AC kabla ya Januari, 2025.
Hivi karibuni timu ya Yanga ilitangaza kuhamia uwanja wa KMC complex kutokea...