Shikamooni,
Mimi ni form four graduate na Nina mpango wa kwenda college for further studies. Nina division 2 na nimebalance science subjects zangu zote pamoja na computer studies Kwa wastan wa "c".
Napenda sana mambo ya graphics sana sana motion graphics and animation.
Nilikuwa nataka...
Kama kichwa Cha habari kisemavyo Kuna projects nafanya inahusika na biological database, natafuta mtu aliyesoma computer science na anakaa Dar asiwe na kazi sababu mda mwingi atakua kwenye hii project
Vigezo
Awe amemaliza chuo mwaka jana
Awe na uwezo wa kufanya presentation bila uoga au...
Habari, mimi ni mwanafunzi IFM mwaka wa pili dip in CS(nilianza certificate). Namaliza masomo mwezi wa 7. Natafuta internship, kazi au hata ushauri wa portfolio na skills.
Nina skills za Html, css, JavaScript. JAVA (na oop), Oracle Sql, kotlin (na oop), adobe illustrator na blender 3D. Android...
Salaam,
Mimi ni kijana wa kiume mwenye Umri wa Miaka 26 na makazi yangu ni Mwanza wilaya ya Nyamaghana. Mwaka huu 2021 nimehitimu Bachelor of science in computer science, Lengo la thread hii ni kuomba nafasi ya internship or volunteering opportunity (paid or unpaid), katika kampuni yoyote...
Samahani ndugu zangu, hivi nikisoma diploma ya information technology ninaweza nikaja kuchukua degree ya computer science au haiwezekani, please nisaidieni ndugu zangu.
Jamani habarini za jumapili nashukuru mungu mm kwangu imeenda poa.
Poleni waliokutana na matatizo ya hapa na pale.
Ni hivi kipindi hicho 2018 nilijiingiza katika kujifunza computer programming japo niliacha baada ya kujiunga na chuo na pia kupoteza pc. Sasa Jana nikiwa na simu yangu nilikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.