computer science

  1. Je, nifuate computer science au film and multimedia and film technology??

    Shikamooni, Mimi ni form four graduate na Nina mpango wa kwenda college for further studies. Nina division 2 na nimebalance science subjects zangu zote pamoja na computer studies Kwa wastan wa "c". Napenda sana mambo ya graphics sana sana motion graphics and animation. Nilikuwa nataka...
  2. Natafuta mtu aliyesoma Computer Science

    Kama kichwa Cha habari kisemavyo Kuna projects nafanya inahusika na biological database, natafuta mtu aliyesoma computer science na anakaa Dar asiwe na kazi sababu mda mwingi atakua kwenye hii project Vigezo Awe amemaliza chuo mwaka jana Awe na uwezo wa kufanya presentation bila uoga au...
  3. Natafuta internship au kazi pale nitakapo maliza Diploma 2 in computer science. Au constructive criticism

    Habari, mimi ni mwanafunzi IFM mwaka wa pili dip in CS(nilianza certificate). Namaliza masomo mwezi wa 7. Natafuta internship, kazi au hata ushauri wa portfolio na skills. Nina skills za Html, css, JavaScript. JAVA (na oop), Oracle Sql, kotlin (na oop), adobe illustrator na blender 3D. Android...
  4. Nisaidieni vyuo vinavyofundisha computer science na requirements zake

    Nisaidieni kwa hilo Maana nataka nijiunge nisaidieni kuorodhesha kadri mtakavyo weza Vyuo vya Computer Science Ahsante
  5. kusoma Electrical Engineering kutumia diploma ya computer science kama qualification

    niaje ndugu,inawezekana kwa vyuo vya tanzania kuwa admitted degree ya EE kutukoea diploma ya CS ?
  6. Ninahitaji nafasi ya kufanya 'Internship'. Nimesoma Bsc of science in Computer science HCIA (5G,AI,DataCom &Python) Certificate

    Salaam, Mimi ni kijana wa kiume mwenye Umri wa Miaka 26 na makazi yangu ni Mwanza wilaya ya Nyamaghana. Mwaka huu 2021 nimehitimu Bachelor of science in computer science, Lengo la thread hii ni kuomba nafasi ya internship or volunteering opportunity (paid or unpaid), katika kampuni yoyote...
  7. Degree ya computer science

    Samahani ndugu zangu, hivi nikisoma diploma ya information technology ninaweza nikaja kuchukua degree ya computer science au haiwezekani, please nisaidieni ndugu zangu.
  8. Natafuta mwanafunzi aliyesoma bachelor in computer science or information technology, awe anakaa Dar es Salaam

    Kama kichwa Cha habari kinavyosema ambaye Yuko dar anicheki, kama amemaliza chuo mwaka huu ndo itakuwa vizuri.
  9. Fursa za frontend development

    Jamani habarini za jumapili nashukuru mungu mm kwangu imeenda poa. Poleni waliokutana na matatizo ya hapa na pale. Ni hivi kipindi hicho 2018 nilijiingiza katika kujifunza computer programming japo niliacha baada ya kujiunga na chuo na pia kupoteza pc. Sasa Jana nikiwa na simu yangu nilikua...
  10. Naomba msaada wako natafuta kazi Bsc Computer Science

    thread closed
  11. Programmers tujadili hapa

    ..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…