Wakuu,
Nijielekeze moja kwa moja kwenye mada tuambiene ukweli.
Hivi wewe huwa unatumia condom? Kama ndio ni kwanini na kama sio ni kwanini?
Mimi situmii kwa kuwa huwa zinaniwasha, halafu nikitumia huwa naona kama nimeibiwa pesa zangu yaani naona kama nimefanya condom na sio mwanamke.
Wewe...