conference

  1. C

    Kumbe hadi viti vya press conference huwa vinalogwa?

    Bwana weeee kumbe viti vinakuwa mambo flani tayari hadi ukiruka kiunzi cha ule mlango wa sehemu husika kombora linachapa kwa kocha siku ya mchezo na kabla unakuwa jitu la hovyohovyo Basi ni jambo jema sana wekundu wa msimbazi kususia ile press na kesho msisahau kuruka yale mmadawa...
  2. C

    Press conference ya yanga leo:Kocha Nabi kasema anahitaji miezi 3 muunganiko hawezi ahidi ushindi

    Mtunisia kasema anahitaji miezi 2 hadi 3 ili team ipate muunganiko, vilevile kasema mechi ya kesho ni ngumu hawezi kuahidi ushindi sababu yeye siyo mtabiri Kocha mkuu kuanzia tarehe 27 ni Kazelona sasa sisi wadau wa soka tunaomba apewe atleast miezi 6 ili apate muunganiko maana hawa wachezaji...
  3. Roving Journalist

    Dar: Africa-Shenzhen Economic & Trade Cooperation and Exchange Series Conference

    Africa-Shenzhen Economic & Trade Cooperation and Exchange Series Conference – Dar es Salaam, Tanzania. 09 September, 2021. In recent days the sixth phase government has been putting in place a great efforts in achieving the goal of realizing an industrialized economy country, this government's...
  4. N

    Jinsi lopolopo linavyosubiria press conference ya mabingwa wa nchi

    Saa kumi hiyo ishafika mabingwa wa nchi wanaanza Press conference bahati mbaya kuna jitu pori sijui linguruwe pori liko addicted sana na chochote kinachosemwa na mabingwa Utasikia ohooooo alivyoona press yangu akajifanya kuitisha yake na kuweka billions 20 ili kuwatuliza, na leo utasikia...
  5. Determinantor

    IGP Sirro itisha Press Conference ueleze haya nayo

    Nataka IGP Sirro ajitokeze atueleze Haya yafuatayo 1. Wahusika waliomshambulia Lissu 2. Nani alimuua Alphonce Mawazo 3. Nani aliyempoteza Ben Saanane 4. Yuko wapi Azory Gwanda 5. Kuna taarifa za watu kipindi kile kukutwa kwenye viroba (tukaambiwa ni wakimbizi) 6. watu mbalimbali...
  6. M

    Haji Manara nakuonya mapema usifanye hiyo Press Conference yako ya Kuwachafua Waandamizi wa Simba SC wiki ijayo

    Nasikia unapanga kufanya Press Conference yako ya Kutapika Nyongo yako dhidi ya Simba SC hasa Watendaji wake kati ya Jumatatu au Jumanne ijayo. Nami pia nakuonya mapema sana just ya hili kwani ukitekeleza hii adhma yako utakuwa umekaribisha Mashambulizi hatari ya Kiyahudi dhidi yako. Wakati...
  7. B

    2021 Professional Diversity Conference

    Dodoma, Tanzania the 2021 Professionals’ Diversity Conference & Exhibition from Monday 26th to 31st July 2021 at Royal Village Hotel in Dodoma. Kuelekea Kongamano la Anuai za Kitaaluma Dodoma kuanzia target 26 Julai mpaka 31 Julai 2021 Kulipa kodi, kuuziana nyumba, miamala ya gesi na...
  8. Red Giant

    Waandishi wa Habari za michezo wagome kwenda kwenye press conference za Manara hadi awaombe msamaha

    Manara amekuwa anawafanyia waandishi wa habari vitendo vya kidhalilidhaji sana. Aliwatukana ni takataka na juzi kati kuna Clip anamfokea Prisca Kishamba kwa makelele. Amekuwa na tabia hii mbaya kwa kujirudia lakini waandishi hawamchukulii hatua, na mbaya zaidi wengine walicheka kitendo...
  9. N

    Msaada jamani jinsi ya kufanya conference/merge calls kwa laini iliyozuiwa

    Nina laini ya halotel ambayo wamelock conference/merge calls. Kw yeyote anaejua jinsi ya kutoa msaada tafadhari.
  10. U

    Polepole atoa taarifa rasmi ya CCM kuhusu kifo cha Rais Magufuli. Kamati Kuu ya Chama kufanya kikao maalum Jumamosi, Machi 20, 2021

    Mkutano na waandishi wa habari utaanza saa 8 mchana kutokea ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba ========== UPDATES: Humphrey Polepole: Chama cha Mapinduzi kinatoa aarifa rasmi ya kifo cha ndugu yetu na mpendwa wetu, John Pombe Joseph Magufuli, ambaye amekuwa Mwenyekiti wetu wa Chama...
  11. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Maalim Seif: ACT Wazalendo hatuna mpasuko lakini Membe anataka kuwaaminisha Watanzania hivyo. Adai Mzee wa Ubwabwa ni bora kuliko Mgombea wao

    Habari wana jf, maalim seif ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia suala la Membe huku akimtolea maneno makali sana. Nimeshindwa kushangaa, leo hii maalim seif unasema Membe katumwa? Mbona siku ya kumpitisha pale chamani kuwa mgombea uraisi ulimsifia sana? Membe unalo la kujifunza, pole...
  12. G

    Baada ya kusikiliza press conference ya Mwanza, sasa najua hakuna aneyeweza kukunali mdahalo

    Nimesikiliza clip ya Lissu akijibu maswali ya wanahabari kwenye mkutano wao jana jijini Mwanza. Kwa jinsi alivyoweza kujibu kwa hoja nzito maswali yote aliyoulizwa na waandishi, nimemuona Lissu kama Nerere mwingine katika uwezo wa kujenga, kujibu na kutetea hoja. Sidhani kama katika miaka ya...
  13. Mstafeli

    Naomba kujua Jinsi ya kufanya Conference call watu zaidi ya 15

    Habari wakuu, Ninaomba kwa mwenye kujua kama inawezekana kufanya Conference call ya watu 15 na kuendelea.Nimejaribu inaishia watu 5 tu, Msaada tafadhali.
  14. Mystery

    Uchaguzi 2020 Je, Vyombo vya Habari hapa nchini vimeripoti "press conference" aliyoifanya mgombea Urais kupitia Chadema, Tundu Lissu?

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA jana Jumatano alifanya "Press conference" na Vyombo vya Habari hapa nchini, akilalamikia kutomfanyia "coverage" yeye akiwa ni mgombea Urais toka chama kikuu cha upinzani hapa nchini, kwa alichokiita ni Hofu, Hofu, Hofu iliyowajaa waandishi wa habari, pamoja na...
  15. Jumbe Brown

    Kutoka Ukumbi Wa Mikutano Wa Mwalimu Nyerere Dar, Mkutano wa Girl Power Conference Mwaka 2020.Wanawake Waliweza Wanaweza Na Wataendelea Kuweza

    Kauli Mbiu Kuu Ya Kongamano Hilo. Wanawake Wanaweza,Waliweza Na Wanaendelea Kuweza. Mwezeshaji:Ndg.Humphrey Polepole Hakika Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimepata Katibu Wa NEC Itikadi Na Uenezi Mwenye Uwezo Mkubwa Mno Katika Kujieleza,Kuelezea,Kufafanua...
  16. Mzalendo2015

    Rais Maguful na Spika Ndugai kama hamtaki kuahirishwa Bunge tumieni Video Conference!

    Leo Tena Bunge limepata msiba wa 3 ndani ya wiki mbili tu. Hii si hali ya kawaida tangu Tanzania ipate Uhuru kwa Bunge kupoteza Wabunge 3 kwa vifo vya kutatanisha. Wabunge wa Upinzani CHADEMA na ACT-Wazalendo pamoja na Watanzania wenye busara walishauri Bunge lisifanyike kwasababu ya kuwepo kwa...
  17. N

    Press conference ya Mbunge Selasini leo: Intelejesia haina wasiwasi na mkusanyiko

    Wanachama na wapenzi wa CCM duniani kote na wandishi wa habari macho na masikio leo yapo Dodoma ambapo katika hotel ya St. Gasper bwana Selasini atakuwa na mkutano KUELEZEA JINSI CHADEMA WALIVYOKATAA KUMUUNGA GROUP LA WHATSAPP. Mkutano huo ni wa muhimu sana haswa UKICHUKULIA INTELEJENSIA YA...
  18. demigod

    Kubenea awaonya wanaopiga ramli kuhusu hatima yake CHADEMA, azungumzia Virusi vya Corona

    "Nataka wananchi wenzangu wa Ubungo na Dar es Salaam pamoja na jitihada kubwa zinazofanywa na viongozi zinapaswa kuungwa mkono na jamii ili wananchi wajue madhara ya ugonjwa huu wa Corona tufuate ushauri wa wataalam. Kuna hatari za kiafya kutoka nchi tajiri duniani juu ya gonjwa hili la Corona...
  19. B

    Gavana wa Benki Kuu afafanua hali ya uchumi

    February 29, 2020 Prof. Florens Luoga, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) aongea na kujibu maswali mbalimbali kuhusu hali ya kiuchumi, bei za mazao, biashara na fedha Tanzania. PART I Thamani ya Shillingi ya Tanzania na exchange rate kimataifa Mfumuko wa bei unacheza 3% kwa muda mrefu Bei...
  20. PlanckScale

    Is there a periodic technology symposium conference in Tanzania?

    I am interested in attending conferences or symposiums where there is discussions on ICT research, opportunities, new solution seeking partners, or just a place conducive for techies to network. So, is there a periodic technology symposium conference in Tanzania that take place may be twice or...
Back
Top Bottom