Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza kuwa imefungua kesi dhidi ya Rwanda katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), ikilalamikia mchango wa nchi hiyo katika mgogoro wa muda mrefu mashariki mwa Kongo.
DRC inaishutumu Rwanda kwa kuwasaidia waasi wa kikundi cha M23, ambao kwa...