Wadau naitaji container 20 FT hata ikiwa used. Offer yangu ni 1.2 M.
Iwe Dar na documenation zote za umiliki muuzaji awe nazo.
Kama unayo nicheck kwa 0759 819 819.
Nimekuja tena kwenu wana jamvi naomba msaada wa kujua zipi ni faida za kusafirisha mzigo kama full container au Loose cargo kutoka China au Nchi za Wenzetu.
Moja kuhusu gharama za usafirishaji. Pili kuhusu mambo ya bandarini mzigo ukifika.
Nakukaribisha kwa mjadala.
CC Top leader
Mzuqa wanajamvi,
Aiseee chalii zangu wanaJF nimewasiliana na baadhi ya watu Thailend na Bangladesh kuhusu kushona hizi jezi za Aston Villa. Inawezekana aiseee.
Ninampango wa kushusha container la futi arubaini iliyosheheni jezi ya hii klabuya kipekee ambayo kijana wetu kipenzi national...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.