Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.
Kenya imepata jumla ya maambukizi 249,725 tangu kuripotiwa kwa Virusi vya Corona nchini humo. Vifo vya Corona vimefikia 5,128 kwa takwimu walizotoa Oktoba 1
Hadi kufikia sasa watu 241,828 wamepona wakati watu 963 wakiwa bado hospitalini na wengine 2,078 wakitibiwa majumbani mwao
Wagonjwa 61...
Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima ameliagiza Baraza la Madaktari (MAT) kuwachukulia hatua madaktari watakaotoa taarifa potofu kuhusu ugonjwa na chanjo dhidi ya UVIKO19.
Amesema atakayeshindwa kuthibitisha taarifa zake atachukuliwa hatua, lengo likiwa ni kudhibiti upotoshaji.
Mtenge mgonjwa katika chumba cha peke yake, mgonjwa ale au alishwe katika chumba chake.
Vaa barakoa kila unapoingia chumba cha mgonjwa.
- Safisha vyombo vyake kwa maji ya moto ukiwa na glovu, usitumie vyombo vya mgonjwa
- Safisha mikono yako baada ya kumhudumia
- Kuwa na mawasiliano ya...
Kufunika pua na mdomo wakati wa kukohoa, kupiga chafya na kuongea kunapunguza kasi ya ueneaji wa #coronavirus.
Unashauriwa kufunika pua na mdomo kwa kitambaa safi au Kisugudi 'elbow' na kisha ukisafishe au kukitupa ili kuwakinga wengine dhidi ya maambukizi ya corona.
Zaidi ya hayo, unashauriwa...
Watoto ni miongoni mwa kundi mahsusi ambalo linahitaji uangalizi na kusaidiwa katika kuchukua tahadhari na kupambana dhidi ya Covid-19
Wataalamu wa Saikolojia wanashauri kuwa ukiona mtoto amefanya tabia hatarishi katika kijikinga na #coronavirus usikae kimya wala usichukue uamuzi usiofaa...
Uvaaji wa barakoa ni miongoni mwa tahadhari muhimu inayosisitizwa katika kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona.
Wataalamu wa Afya wanahimiza usafi wa mara kwa mara katika barakoa inayotumika kujikinga dhidi ya maambukizi ya Corona.
Inaeleza kuwa barakoa huweza kuchafuka kutokana...
Tangu kuripotiwa kwa kisa cha kwanza cha Ugonjwa wa UVIKO19 katika jimbo la Wuhan nchini China, maambukizi ya virusi hivyo yamepindukia visa milioni 200 huku zaidi ya watu milioni 4.5 wakipoteza maisha. Kubadilika kwa aina za virusi vya corona kama Alpha, Beta, Delta nk., kunaongeza chumvi...
President Museveni on Wednesday ordered for the reopening of places of worship but with strict adherence to the Standard Operating Procedures (SOPs) to avoid further spread of coronavirus.
“Places of worship can now open under strict guidelines like; limiting the number to 200 people and...
UNAPOHISI DALILI YA #COVID19 NENDA KITUO CHA AFYA USIJITIBU
Wataalamu wa Afya wanashauri pindi unapohisi dalili za Corona nenda kituo cha afya ukapime badala ya kuanza kunywa dawa na kujaribu kujitibu.
Inaelezwa kuwa miongoni wa dalili hizo ni pamoja na kupata shida wakati wa kupumua, kupata...
Katika kukuza tabia ya kuchukua tahadhari za Covid-19 kwa makundi yote katika jamii, watoto ni miongoni mwa kundi ambalo linahitaji umakini mkubwa katika kulichukulisha tahadhari.
Wataalamu wanashauri wazazi au walezi kuwapongeza au kuwazawadia watoto wao pindi wanapopatia kuchukua tahadhari...
Toleo jipya la Chanjo ya Johson & Johson la Dozi mbili ni madhubuti kwa 94% dhidi ya kirusi cha covid 19 na sasa chanjo hiyo inalinganishwa sawa na Chanjo ya Modena na Pfizer.
---
A two-dose version of Johnson & Johnson's coronavirus vaccine provides 94% protection against symptomatic...
Kumekuwa na kasi ya usambaaji wa taarifa na propaganda nyingi kuhusu ugonjwa wa Corona, chanjo na virusi vipya vinapoibuka ulimwenguni. Propaganda hizo zimeibua nadharia nyingi na taharuki miongoni mwa jamii.
Shirika la Afya ulimwenguni limefanya jitihada mbalimbali katika kudhibiti ueneaji wa...
Covid-19 ni janga ambalo ni hatari kwa watu katika jamii, lakini ni hatari zaidi kwa watu wenye mahitaji maalumu kutokana na hali walizonazo kuwafanywa washinde kutekeleza mambo muhimu ili kuchukua tahadhari ya janga hili.
Wataalamu wa afya wanashauri watu wa karibu na wenye uhitaji maalumu...
Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Marekani (CDC) kinashauri kupata chanjo bila kujali ikiwa tayari ulikuwa na COVID-19 na ukapona. Ushahidi zaidi unaendelea kuibuka kuwa watu wanapata kinga bora kwa kupewa chanjo kamili ikilinganishwa na kinga mwili inayopatikana baada ya kuugua COVID-19.
Utafiti wa...
About 3,000 health workers in France have been suspended because they have not been vaccinated against Covid-19.
A new rule, which came into force on Wednesday, made vaccination mandatory for the country's 2.7 million health, care home and fire service staff.
But French Health Minister Olivier...
Umoja wa Mataifa umesema janga la virusi vya corona halikupunguza kasi ya mabadiliko ya tabianchi. Katika ripoti iliyotolewa na umoja huo leo Alhamisi, imearifiwa kuwa utoaji wa hewa chafu ya kaboni katika sekta ya viwanda ulibaki katika kiwango kile kile cha mwaka 2019. Kitengo cha hali ya hewa...
Pimeni leo hapo Muhimbili hiyo Covid-19 yenu ila mkifika tu Kwao nchini Nigeria 85% ya Wachezaji wenu watakutwa nayo na Kuna uwezekano Golini akakaa Hersi, Kiungo akacheza Haji na Ushambuliaji akamaliza Senzo huku Mzee Mpili akiwa ndiyo Kocha Mkuu wenu.
Eti leo mnailaumu Simba SC kuwa ndiyo...
Jana kwenye taarifa ya habari tulihabarishwa kuwa Serikali ya Jamhuri ya Tanzania imepokea mkopo wa 1.3 trillioni ili kupambana na ugonjwa hatari ya Covid-19.
Binafsi sisemi au sikatai mkopo huu ila nasema fedha hizi ni nyingi sana kwa ajili ya mkopo.
Kama juzi juzi tulipokea dozi millioni...
Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) linasema kuwa watoto wanapaswa kufahamu kinachoendelea kuhusu Chanjo ya COVID-19 na ni muhimu wapewe majibu ya kirafiki
Kama mzazi ana hofu kuwa taarifa aliyo nayo inaweza kumstua mtoto, inashauriwa kutoonesha hofu hiyo kwani hisia za watoto...
Na Ramadhani Kissimba, WFM, Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Ncgemba (Mb), amewahakikishia Wanzania kuwa Mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani milioni 567.3 sawa na shilingi trilioni 1.3 uliotolewa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.