Kuanzia tarehe 8 mwezi Januari, China imerekebisha hatua zake za kukabiliana na janga la COVID-19 kutoka ngazi A hadi B. Kwa mujibu wa hatua mpya, watu walioambukizwa na virusi vya Corona hawatawekwa karantini tena, na watu wanaoingia nchini China kutoka nchi za nje pia hawatalazimishwa tena...