Ukiangalia kwa undani, CCM na serikali yake kila kitu kinachohusu wananchi wanataka watumie dola na ubabe kifanyike, wananchi wanajua kabisa CCM kupitia serikali wanaiba kura, na kwasababu ccm inalazimisha watumishi wa serikali kuwa wao ni waajiriwa wa CCM hivyo lazma kiwatumikie, Vivyo hivyo...
Nimekuwa nikishangaa mnoo mara kwa mara kusikia mijadala ya kujadili namna ya kuwarejesha au kuwakataa wabunge wa Covid 19, Mchungaji Msigwa na Dr. Slaa. Hizi hoja zilishika kasi kipindi cha uchaguzi wa mwenyekiti ndani Chadema na zinaendelezwa hadi sasa huku upande wa wapambe wa Mbowe ukipiga...
Watu tunakomaa humu kumlaumu Tulia na Samia kwa kuiletea hasara serikali kwa uwepo wa kina Mdee bungeni, kumbe wale wabunge ni wake wa Kigaila na Salimu Mwalimu?
Yaani hawa wasaidizi wa Mbowe ndio waandae ushahidi mahakamani wa kuwatoa wake zao bungeni? Pamoja na mambo mengi ya hovyo ya Mbowe...
Kama kuna vitu vya kipuuzi, kijinga na kipumbavu basi ni uwepo wa mikakati madhubuti kutoka kambi zote mbili zinazovutana sasa (Mbowe na Lissu) kutengeneza mikakati tofauti tofauti wa kuwarejesha wasaliti wa Chadema (Dr. Slaa, Msigwa, Covid 19).
Upande wa kambi ya Mbowe wao wanatengeneza...
Ni kiri wazi kuwa kwa maelezo haya ya wenje baada ya kumsikiliza kwa makini! Kuna maswali mengi yanakosa majibu kutoka kwa wenje! Ni upumbavu wa hali juu kuwa haki yako iliyo kisheria mtoto wa rahisi ndio akufanyie mpango ulipwe as if hayo madai anayedaiwa ni mama yake!
Swali langu kwa wenje...
Kuna utafti naufanya kuhusu tabia za binadamu na mabadiliko ya hisia!
Nafanya utafti wa tabia kabla ya kuchoma sindano ya covid na baada ya kuchoma sindano!
Naangalia uaminifu katika Angel ya uaminifu katika ndoa ukoje baada ya kuchoma covid, umepungua au umeongezeka,
Tabia za kihisia (Moody)...
Ni miaka takbiran mitatu sasa tokea nichomwe chanjo ya kuzuia maabukizi ya COVID (UVIKO).
Mimi nilichoma chanjo ya Pfizer Biontech, na zilikuwa dozi mbili zikipishasha wiki 6 mpaka miezi miwili.
Na mpaka sasa nadunda na miezi kadhaa iliyopita tulimkaribisha mgeni mpya wa dunia hii...
Dunia tulio nayo imepitia vipindi vigumu na majanga mbalimbali tokea enzi za vita ya dunia huko na mpaka tulipofika, ila kwa miaka ya karibuni kuna magonjwa mawili makubwa yalitikisa ulimwengu CORONA huu sina hata haja ya kuelezea habari zake mpaka leo zipo maana hata ukitaka kusafiri nje lazima...
Bill Gates anasema iwapo Dunia itakwepa kuingia kwenye vita ya Dunia basi itaangukia kwenye janga kama la Covid ndani ya miaka 25 ijayo.
Gates anasema hivyo ni vitu visivyokwepeka, unkwepekable things, either world war ama pandemic.
Gates anasisitiza kwamba hivyo vitu ndio vinampa mawazo sana...
Jana tukiwa tunazika kunduchi nkaonyeshwa makaburi ya waliokufa na COVID
Ni huzuni sana ukiacha matajiri yaani weengi ni wanaume bila kujali dini zao
Tutuubu wanaume
Aisee inasemekana mtangazi mmoja wa wachafu tv bwana x pesa alizokuwa anahongwa na mshangazi ambaye anaishi majuu ametumia kuhonga au kulipia mahari kwa wale watu wa covid 19 upande wa singida ndiyo maana jamaa kwa sasa route za majuu zimekata kutokana na mshangazi amekata kutoa fund raise kwa...
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za kwa maslahi ya taifa, Chadema ni chama cha Kitaifa hivyo haya yanayoendelea ndani ya Chadema katika huu mgogoro wake na wabunge wake 19 wa viti maalum, una athari za Kitaifa zenye maslahi kwa taifa.
Hoja yangu ya leo...
MSM silent as Court holds PCR Covid tests 97% inaccurate and unfit for purpose
MAY 26, 2024
The main stream media (MSM) in Europe and the US is deathly silent as a court determines the PCR test legally useless to test for Covid.
The Landmark legal ruling finds that Covid tests are not fit...
Salaam, Shalom!
Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania ni majaribio, Kwa kuwa hazijafanyiwa Utafiti wa kutosha,hivyo Si sahihi miili ya Watanzania kugeuzwa...
Ni uwendawazimu wa kiwango cha juu mnoo kwa taifa la Tanzania lenye umri wa zaidi ya miaka 60, watu zaidi ya milioni 60, wasomi wa chuo kikuu karibu au zaidi ya milioni moja kuendelea kukumbatia, kushabikia, kufurahia magenge ya wahuni, wavivu, wajinga, malaya, wavuta bangi, walevi...
Hizi ndizo taarifa ambazo zinasikika kwenye mikutano yao kama ambavyo wahenga walisema hakuna siri ya watu wawili. Na hawa imekuwa ni ya watu 19. Wanaambiana mengi na wengine wanakuja kutuambia. Hasa sisi wenye mahusiano nao.
Sitaelezea kwa kina maana mnaweza unganisha code mkaja jua mimi ni...
Mkaanzisha na uhamasishaji tuchanjwe. Msaada wa mchele tunakataa sababu hauna manufaa kwetu sisi baadhi ya watu.
Usaid watoe pesa waone kama tutakataa... Mchele hatuwezi chukua peleka majumbani kwetu. Hauna faida kwetu. Next time watoe mkwanja tukanunue mchele hata Kenya( kwa ambao wananunua...
Ugonjwa wa covid19 ulipoingia tulijaribu kuweka mbinu nyingi kila mtu kujua atajisaidia vipi ili kujiokoa na gonjwa ili sitosahau mpaka malimau yakapanda bei.
Serikali ikaweka mpango maalumu wa kila sehemu kuhakikisha kuna ndo ya maji safi na kila sehemu utakapo kwenda kunawa mikono kabla ya...
Tunapotafakari mwaka 2023 yatubidu kumshukuru Mungu kwamba tuliishi kama binadamu. Kuna kipindi hapo miaka ya nyuma tulikatazwa kuwazika wapendwa wetu, kuwahudumia na hata kuongea nao.
Tulikatazwa kwenda kijijini desemba kwa madai kwamba tunapeleka magonjwa, wazee wetu wakawa na hofu kubwa juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.