unajua alivypost watu walimuuliza signature ya verifier iko wapi? Mbona hiyo tarehe ni after match ina maana wana depart mbona hu post kwamba kule Sudani wachezaji wao 17 walikutwa na covid tarehe 5 march kesho yake tarehe sita wakapungua hadi watano? Simba inahusika vipi na vipimo na ili hali...
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi leo amekutana na balozi wa Vatican nchini na kupokea salamu kutoka kwa Papa.
Viongozi hao wawili wamejadili mambo mbalimbali ikiwemo amani katika maeneo ya Congo na Msumbiji.
Pia wamejadili kuhusu Covid na kukubaliana waiambie dunia swala hilo lisiwe la...
Kumekuwa na mihemuko ya baadhi ya wanajamii hasa wanasiasa za upinzani, wakitaka kupewa takwimu za ugonjwa wa covid 19. WHO nao wamekuwa wanadai takwimu. Ukweli ni kuwa takwimu wanazozitaka hawa baadhi ya wanajamii wazozitaka na malengo yao ni tofauti kabisa na zile WHO wanazozitaka.
1. Hawa...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza taratibu mpya za kudhibiti janga la COVID-19 nchini humo ikiwa ni pamoja na:
Mikusanyiko ya kisiasa imepigwa marufuku kwa siku 30.
Marufuku ya kuwa nje usiku imerefushwa kwa siku 60 zaidi
Mabaa na kumbi za burudani kufungwa kuanzia saa tatu usiku.
Mazishi...
Unicef has made a U-turn and included Kenya Airways in the list of 15 airlines contracted to ferry Covid-19 vaccine.
A communication between Unicef and the government seen by the Business Daily, backed sources familiar with the deal, indicates the change in tune followed high level of lobbying...
Kiongozi wa Chama cha ODM nchini Kenya amelazwa Hospitali ya Nairobi kutokana na kuwa na mchoko sana na mwili wake kuwa unamuuma
Kaka wa Odinga, Oburu Odinga amesema ndugu yake haijaonesha dalili za magonjwa ya mfumo wa hewa, lakini hadi wameondoka hospitali majibu ya #COVID19 yalikuwa bado...
Wanabodi,
Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona
Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake.
Je? Tatizo ni...
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki la Kenya limeitaka serikali ya Kenya kukubali na kuruhusu kuruhusu chanjo zote halali za COVID-19.
Kwamba kanisa katoliki limeruhusu mtandao wa hospitali zake zote nchini Kenya kkutumika kama vituo vya chanjo za COVID-19
---
Catholic Bishops have now...
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari na makamu wake Yemi Osibanjo wamekuwa watu wa kwanza kupatiwa chanjo ikiwa ni njia ya kuwahakikishia wananchi kuwa chanjo ndiyo kinga muafaka dhidi ya virusi vya corona.
Nigeria wiki iliyopita ilipokea chanjo ya Covid 19 ikiwa ni mwanzoni mwa awamu ya pili ya...
Wazungu wenyewe wanakiri kuwa corona virus is a moving target. Kwa maneno mengine ni kwamba kirusi cha corona ni shabaha inayotembea.
Ili kuielewa dhana hii nitatumia mfano rahisi. Tufananishe kirusi cha corona kama nyoka mkubwa sana na mkali. Huyo nyoka ulimwona mahali fulani mwaka 2019, na...
Mkurugenzi mtendaji wa NIMR Prof Yunus Mgaya amesema taasisi yake inafanyia utafiti dawa 7 za Kitanzania zikiwemo 4 za kufukiza kama zinatibu Covid 19.
Utafiti wa dawa hizo za asili ambazo zimetumika toka enzi za mababu zetu zinafanyiwa utafiti na wanasayansi wetu kupitia baadhi ya hospitali...
Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa.
Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa.
Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
afya
barakoa
changamoto
chanjo
corona
covidcovid 19
covid-19
dunia
gani
kelele
maambukizi
magufuli
maisha
matibabu
rais
siasa
tanzania
ugonjwa
ukweli
upumuaji
uzalendo
viongozi
watanzania
wizara ya afya
Kwako waziri wetu wa Afya Dr. Gwajima.
Sijajua sababu ilofanya hadi muweke bei ghari hivyo kuoata hichi kipimo kwa wanaosafiri, kipimo ni 235,000 Tsh. (100 USD) , hii sio sawa kiukweli mnatuumiza sana sisi wa vipato vya chini ambao tunapata visafari vya dharula katika kutafuta maisha, huu ni...
Baada ya wataalamu wa China kugundua kipimo kipya cha maambukizi ya virusi vya korona kinachopima kwa njia ya haja kubwa, miji mingi nchini humo imeidhinisha kipimo hicho.
Viwanja vya ndege pia hukitumia kwa wasafiri WANAOINGIA CHINA! jambo lililoifanya Japan kuitaka china kuacha kutumia kipimo...
Karibu watu milioni 10 hufa kwa njaa kila mwaka duniani.
Fedha kiasi cha US Dollar billion 11 kingeweza kuondoa kabisa njaa duniani.
Cha ajabu Corona inayoua watu milioni moja kwa mwaka inapewa tension kubwa na dunia iko tayari kutumia US dollar zaidi ya billion 35 kukifuta kirusi hiki.
Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.