Lazima kutambua wakati wote benki ya dunia ni benki tu kama zingine kipaumbele chake ni faida. Wenye hisa wakubwa ni marekani na nchi za ulaya. Kwa mfumo wa kibepari wafaidika namba moja na benki ya dunia ni mabepari wakubwa wa nchi hizo.
Kutokana na hivyo nchi changa sio rahisi kupata...
Nimefanikiwa kupata chanjo ya Corona hapa napoishi na kufanya kazi Dallas, Texas. Nimepata dose mbili za sindano kwenye bega ya kwanza tarehe 5 mwezi wa pili na ya pili tarehe 4 mwezi wa tatu. Nimepata chanjo kutoka kampuni ya Moderna. Nilivimba kidogo kwenye bega kwa mara zote lakini sijapata...
Juzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende.
Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani?
Kwani kwenye Mwenge kuna nini kiasi hiki?
Hii ndio Taarifa ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe au waweza kumuita Mtemi Isike aliyoitoa kwa waandishi wa habari, alipokuwa kanda ya Magharibi katika ziara yake ya Operesheni Haki.
Amesema baada ya vikao vya Baraza Kuu ratiba ya Mikutano ya hadhara nchi nzima itapangwa.
Rais wa Marekani Joe Biden amesema anatarajia matokeo kuhusu ripoti ya upelelezi wa chanzo cha virusi hivyo.
Wizara ya kigeni nchini China iliishutumu Marekani kwa kufanya siasa na kuirushia lawama.
Imepinga uhusiano wowote kati ya Covid 19 na maabara moja ya virusi katika mji wa China wa...
Tusiwe na double standards. Halima et al wanalipwa mabilioni bila kuwa wabunge kama sheria inavyotaka na Mamlaka Kuu za Serikali zimebariki including the Executive, basi waacheni na wa Wizara ya fedha nao "wapige" pesa kama akina Halima wanavyopiga pesa.
Simple!
Johnny Boufarhat, 26, raised millions to develop video conferencing app Hopin last year after Britain was plunged into its first lockdown and high streets and businesses were forced to close their doors.
Nimeona Tangazo kwenye jumbe za watsapp ikionesha kuwa kitakuwa na mjadala kuhusu wimbi la tatu la corona nchini Tanzania.
Katika mjadala huo nimeona mwenyekiti wa MAT pamoja na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake.
Ieleweke kuwa kujadili covid sio tatizo ila ni muhimu pia sheria tulizojiwekea...
Preamble:Moderators tafadhalini acheni watu waone hii taarifa.Ni haki ya kila mtu kufanya maamuzi from an informed position.Na kumbukeni kwamba it will be against the Geneva Convention to do so.Tafadhalini msiwe sehemu ya this impending human genocide.
by: Mike Adams
(Natural News)
This is...
Mamlaka za afya nchini Malawi zinatarajiwa kuharibu zaidi ya dozi 19,000 za chanjo ya Covid 19 kutoka AstraZeneca baadaye siku ya Jumatano.
Wanasema chanjo hizo zimepitisha muda wa matumizi na hakuna data ya kutosha kujua ikiwa ni salama kutumiwa, kufuatia mwongozo kutoka kwa Shirika la Afya...
Nimeikuta mahali kutoka kwa mwananchi wa kawaida kutoka kijijini kwetu, amezungumza haya kama maoni yake binafsi:
"Taarifa ya utafiti wa uviko -19(covid -19) inatoa mapendekezo zaidi na sio hali ya sasa ya corona nchini, na hali ya corona kwa siku zilizopita na athari zake.
Binafsi nashangaa...
Kwanza niweke wazi kuwa mimi si Daktari na wala sina utaalamu wa magonjwa ya kuambukiz bali nimetumia tu common sense na elimu ya kusoma vyanzo mbalimbali na hatimae ku-arrive at this conclusion:
Tuanze kwa kutazama herd immunity ni mini.
Herd immunity ni kinga inayotokana na sehemu kubwa ya...
Leo Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu, Spika wa Bunge Job Ndugai amesimama na kumkemea Nape Nauye, Mbunge wa Mtama ambaye hivi karibuni alitoa maoni yake binafsi kuwa wale wabunge 19 waliotimuliwa na CHADEMA sio wabunge halali.
Ndugai, akonekana mwenge wasiwasi na aliyepoteza...
Mbunge wa Nzega vijijini Khamis Kigwangalla amesema utafiti unaonyesha uchumi wa dunia utagrow kwa kasi mara tu baada ya COVID-19 kudhibitiwa.
Tanzania siyo kisiwa hivyo tuungane na dunia katika mapambano na tuanze utaratibu wa kufuatilia Chanjo sasa ili tusiachwe nyuma, amesema Dr Kigwangalla...
Ni vizuri Serikali badala ya kutaka kununua chanjo ya Covid 19 ambayo haijakamilisha hatua muhimu za ufanisi ni vyema ikatoa fedha kwa wanataaluma wetu waliopo nchini wafanye utafiti wa kubuni chanjo ya Ukimwi na Hatimaye Covid 19.
Itasikitisha sana tukiingizwa mkenge wa kununua au kukopeshwa...
Nimeona mwongozo wa spika kwa viongozi wa vyama vya siasa kuhusu kufukuza wanachama wabunge.
Naona huyu bwana anataka kuujulusha umma kuwa wabunge ni wanachama wa vyama wa daraja la kwanza ambapo wakifukuzwa sharti makosa yao, vikao vya kuwafukuza, wajumbe waliohudhuria, rufaa zao za mavazi...
Raisi matata wa Philippines ,Rodrigo Duterte amesema amejuta kuchanjwa kwa chanjo ya kichina iitwayo Sinopharm huku akihofia afya yake.
Wakati huo huo raisi Duterte ameutaka ubalozi wa China nchini humo kwenda kuchukua chanjo zao 1000 za Sinopharm walizozitoa kama msaada kwa Phillipines.
Raia...
Hata kabila ya ujio wa Covid, hakuna tabia ambayo huwa naichukia kama mtu kupigya chafya mbele za watu bila kuziba pua na mdomo kwani mbali na kusambaza magonjwa, lakini pia inachangia sana kulishana uchafu(makamasi).
Kutokana na ujio wa Covid, ugonjwa unaosambaa kwa njia kadhaa ikiwemo mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.