covid19

COVID-19 testing can identify the SARS-CoV-2 virus and includes methods that detect the presence of virus itself (RT-PCR and isothermal nucleic acid amplification) and those that detect antibodies produced in response to infection. Detection of antibodies (serology) can be used both for diagnosis and population surveillance. Antibody tests show how many people have had the disease, including those whose symptoms were minor or who were asymptomatic. An accurate mortality rate of the disease and the level of herd immunity in the population can be determined from the results of this test.
Due to limited testing, as of March 2020 no countries had reliable data on the prevalence of the virus in their population. As of 18 April, the countries that made public their testing data have on average performed an amount of tests equal to only 1.1% of their population, and no country has tested samples equal to more than 12% of its population. There are variations in how much testing has been done across countries. This variability is also likely to be affecting reported case fatality rates, which have probably been overestimated in many countries, due to sampling bias.

View More On Wikipedia.org
  1. Kenya: Toyota Kenya makes a local bridge ventilator critical for respiratory failures in Covid19 patient

    Toyota Kenya develops bridge mechanical ventilator By Sylvania AmbaniApril 24th, 2020 1 min read A pictorial view of the machine design and components. PHOTO | COURTESY Toyota Kenya has developed a bridge mechanical ventilator prototype to help support patients with Covid-19 respiratory...
  2. Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

    Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Magufuli anatarajiwa kuzungumza mubashara na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhusu ugonjwa wa Corona kutokea Chato saa 9:45 alasiri leo tarehe 22.4.2020 -- HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI) Rais ameshauri tuendelee kutumia njia za...
  3. S

    Tundu Lissu: Kuna mtu anadanganywa kuwa anaweza tangaza Hali ya Hatari na kuongoza nchi kijeshi bila ridhaa ya Bunge

    Pamoja na aliyoyaandika katika tweet yake, kasisitiza isomwe Ibara ya 90(4). Je, kuna mtu kaanza kufanyia kazi ule ushauri wa Mzee Mwanakijiji alioutoa hapa JF juu ya namna ya kukabiliana na corona? Muda utasema.
  4. Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Habari! Karibu ili kujuzwa na pia kupata taarifa (masasisho) mbalimbali ya kile kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) almaarufu kama "kirusi cha Wuhan" kutoka nchini China. Katika uzi huu utapata kufahamu mambo mbalimbali hususani hali ya ongezeko na ukuaji, jitihada...
  5. Kutokomezwa kwa corona virus itategemeana sana na ukomavu wa viongozi wetu

    unajua kama viongozi wetu walizalau covid-19 ilipo kuwa inaingia nchini,mipaka na airport ziliendelea kufanya kazi, viongozi wachache wakatumia covid kama siasa na kushindana na kukashifiana, na hawa ndio viongozi wetu, wenye uelewa na ufahamu wa aina hiyo! ninapata ukakasi kuamini suruhisho la...
  6. Misikiti mingi Zanzibar imeshafungwa kukwepa maambukizi ya COVID -19

    Pamoja na mamlaka husika kutozuia mikusanyiko ya kiibada katika kipindi hiki cha hatari cha maambukizo ya ndani. Na pamoja na Ofisi ya Mufti mkuu kuelekeza ufanyaji wa Ibada na hasa upangaji wa mistar (safu) uwe si wakuganda kama sheria inavyotaka badala yake iwe mita moja baina ya mtu na mtu...
  7. Kama Taifa, huu ndio wakati wa kuweka siasa kando. Ni wakati wa kuchukua maamuzi sahihi

    Wantanzania kama taifa tupo katika kipindi kigumu sana.Maambukizi ya huu ugonjwa yameongezeka kwa kasi (Covid -19). Kama taifa inatupasa tuweke siasa kando. Tushikamane ili kupambana na hili janga. Kama jamaa zetu kule China wana namna ya kupambana na huu ugonjwa basi tuwanonog'eze watuambie ni...
  8. CoronaVirus: Pierre Liquid athibitika kupata maambukizi ya Ugonjwa wa COVID19

    MCHEKESHAJI Pierre Liquid maarufu kwa vibwagizo vya kama utabaki kileleni, mama nakufaa, amekutwa na corona. Akizungumza leo Jumapili na Mwanaspoti, Pierre ambaye jina lake ni Peter Mollel, amesema amebaini kukutwa na ugonjwa huo juzi. Akizungumza kwa njia ya simu Pierre amesema kwa sasa yupo...
  9. Tatizo la Corona: Wa kulaumiwa ni Serikali kwa asilimia 100%

    Tatizo la Corona wa kulaumiwa ni serikali kwa asilimia 100% nitawalaani mpaka kaburini Nina sababu ya kusema serikali ndo ya kulaumiwa kwa sababu zifuatazo KWANZA kabisa kipindi mwezi wa pili na wa tatu Corona ilivyoanza kuwa serious ninyi mliendelea kuwapokea watalii na wachina tena bila...
  10. Rais wangu Magufuli, na mwezi huu wa nne utapokea mshahara kama watumishi wengine?

    Rais wangu salamu kwako. Rais wangu, kusema kweli umeniangusha sana na umezidi kuondoa imani yangu kwako. Swali ninalokuuliza: Je, na mwezi huu wa nne utapokea mshahara kama watumishi wengine? Nimeuliza swali hilo kwakuwa bila ya kuhadaa wala kubwabwaja umenifanya mimi pamoja na Watanzania...
  11. B

    Kwako Rais Magufuli sasa pasipo na kupepesa maneno: Kwa unavyoshughulika na Corona sasa - NO!

    Ni wazi kuwa wenye ujasiri wa kuandika nyuzi kama hizi kwa maslahi ya taifa ndani ya vitisho vilivyopo si wengi, hivyo tafadhalini msiwe sehemu ya kuwanyamazisha. Wanasema nani mwenye kumfunga paka kengele? Ni muhimu sasa bila ya kupoteza muda zaidi wala kumung'unya maneno, tumfunge paka huyu...
  12. #BatmanSlap #Meme #COVID19 #COVID19Tanzania

  13. Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile aelezea aina za Barakoa za kuvaa na Utaratibu wa kutengeneza ya kitambaa

    Kuna haja kubwa sana kwa Masuala ya Afya kuzungumzwa na wataalam wa Sekta hiyo tu na si vinginevyo , mtu aliyesomea Kahawa na vitunguu hawezi kuyajua mambo haya . ====== Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Faustine Ndugulile, ametolea Ufafanuzi Clip...
  14. G

    Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

    Hapa naandika kwa majonzi kwa kusikia jinsi Watanzania wenzetu wanavyougua Corona na wengine kupoteza maisha. Poleni nyote. Kinachoumiza zaidi ni namna baadhi yetu tunavyoteteana hata kunapokuwa na uzembe kwenye hatua zinazochukuliwa kutulinda na Corona. Kuna wanaosema Nahodha wetu ni shujaa...
  15. HOJA NDANI YA HOJA: Rais Magufuli na bahati nasibu ya korona - ITALIPA?

    Nilipoandika makala yangu ya ILIYOPITA kuhusiana na ugonjwa utokanao na virusi vya korona (COVID-19) Tanzania ilikuwa haijtangaza kuwepo kwa mgonjwa yeyote nchini na kuwa makala ile ililenga katika kutoa shime ya kuwahi ugonjwa huo. Nchi zote zilizowahi kuutangaulia ugonjwa huo na kuchukua hatua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…