COVID-19 testing can identify the SARS-CoV-2 virus and includes methods that detect the presence of virus itself (RT-PCR and isothermal nucleic acid amplification) and those that detect antibodies produced in response to infection. Detection of antibodies (serology) can be used both for diagnosis and population surveillance. Antibody tests show how many people have had the disease, including those whose symptoms were minor or who were asymptomatic. An accurate mortality rate of the disease and the level of herd immunity in the population can be determined from the results of this test.
Due to limited testing, as of March 2020 no countries had reliable data on the prevalence of the virus in their population. As of 18 April, the countries that made public their testing data have on average performed an amount of tests equal to only 1.1% of their population, and no country has tested samples equal to more than 12% of its population. There are variations in how much testing has been done across countries. This variability is also likely to be affecting reported case fatality rates, which have probably been overestimated in many countries, due to sampling bias.
Watafiti wamesema madhara ya #CoronaVirus ni kwa mwili mzima kwa kuwa huathiri viongo vingine vya mwili ikiwemo mapafu, koo, moyo, ini, ubongo, figo na utumbo
Ripoti hii itasaidia kujua dalili zaidi za #COVID19. Kwa kuwa kunaa baadhi ya dalili zilionekana kuwa za ajabu kwa wagonjwa wa...
Wewe Waziri wa Afya kweli ni mwanamke unayejua uchungu wa mtoto? Kwenye janga hili la Corona unafuata muongozo upi ambao unaelekea kuiua Tanzania?
Tumechoshwa na habari za aina hii kila siku. Pia nikueleze kuwa tunachoshwa na madhila tunayoyaona huku mitaani. Hatujazoea kuishi na maiti sisi...
Akihojiwa na DW, waziri wa zamani wa mambo ya nje mheshimiwa Bernard Camilius Membe amesema katika awamu hii ya utawala wa Magufuli, diplomasia imeshuka mno.
Membe anaonya kwamba, tanzania awamu hii inajiendeshea mambo kivyakevyake nje ya utaratibu wa jumuia ya kimataifa.
Akoingelea suala la...
JE TANZANIA INAFICHA VIFO
Hii ni habari kwenye kurasa za Aljazeera ambapo watanzania kadha wamehojiwa.
Kipengere hiki ndio kinashtua, kama ilala tuu tarehe 27th kwenye daftari la mazishi ya waliokufa kwa corona ilikua zaidi 256, basi hali ni mbaya.
Article naiweka kama ilivyo kwa kingereza...
Habari Wakuu,
Hali ya maambukizi ya corona hapa nchini kwa sasa haifahamiki zaidi ya sintofahamu tu huku watu wakiendelea kufanya shughuli zao kama kawaida
Watanzania tuko njia panda sasa tusielewe hali ya nchi hii kwa vita ya covid19 mpaka kujiuliza maswali kama hali ya mipaka ya nchi iko...
Madereva wa magari zaidi ya 50 wa Tanzania wamezuiwa kuingia Kenya katika mpaka wa Namanga hadi hapo watakapopimwa kujua kama wana maambukizi ya CoronaVirus
Taarifa zaidi inafuata.....
Wizara ya Afya Zanzibar imetangaza ongezeko la wagonjwa wapya 29 wa #COVID19 na kufanya idadi ya maambukizi visiwani humo kufikia 134. Wagonjwa wote waliotangazwa leo ni Watanzania
Pamoja na ongezeko hilo, Wizara pia imesema wagonjwa wengine watano wamefariki dunia na 11 wamepona na kufanya...
During this time.
Covid-19
Did you ever think that time will come when people will be living this kind of life?
Life with a lot of insecurities, uncertainties, worries and fear! Psychologists are advising that, as the first step to the solution, we should accept the challenges once happened...
Baada ya kunyanyasika vilivyo nchini Rwanda madereva wa malori wa Tanzania wamejichukulia sheria mkononi kuyazuia malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini.
Inasemekana baada ya Rwanda kuudhibiti ugonjwa wa Corona vilivyo nchini mwao, kitisho pekee kwa sasa kimebakia kuwa kutokea kwa wageni...
Information has been leaked that china knew of the covid19 outbreak in late November 2019. The doctors who blew the whistle were immediately arrested and detained with two of them dying in custody from covid19.
December 15nth 2019, China signed a trade deal with America with a very interesting...
Mh Rais sisi Watanzania pamoja na unyonge wetu nakuku amini kama Rais wetu kiukweli hatukuelewi na mimi sitaki kuwa mnafiki napenda niweke kumbukumbu sio kubishana na mwalim hapana ila kumwambia mwalim sijakuelewa.
Leo umesema mlipeleka sample za mbuz?, oil,mafenesi na mapapai na vilileta...
Na Mwanahamisi ‘Mishy’ Singano
@MSalimu
Mheshimiwa Rais, kwanza nianze kwa kusema, hakuna mtu yoyote mwenye akili zake timamu atakayeulaumu uongozi wako kwa kuleta ugonjwa wa korona. Sio kosa lako! Ugonjwa huu hauna mjanja, umetoka ulikotoka, na umeenea kila mahala. Naamini tusingeweza kuuzuia...
MTAZAMO NA TAARIFA KWA UMMA KUHUSU JANGA LA CORONA NA ATHARI KWA TAIFA
1.0 Utangulizi:
COVID 19 (Corona Virus Disease of 2019) ni ugonjwa usio na tiba unaoitesa dunia kitabibu, kiuchumi, kijamii na hata kisiasa. Ni mlipuko wa ugonjwa unaosambaa kwa kasi na unaoua binadamu bila kujali...
Paulo Dybala amekutwa na #CoronaVirus kwa mara ya nne ndani ya wiki 6.
Mach 21 aliandika kuwa yeye na mchumba wake walichangamana na mtu mwenye #COVID19 na akapima kwa mara ya kwanza na akakutwa na virusi hivyo
Dybala ni mmoja wa tatu ndani ya Club ya Juventus kukutwa na #CoronaVirus, wengine...
Great Thinkers, ujumbe unaofuata unaonesha jinsi wizara ya afya ilivyojipanga kukabiliana na COVID19, kikao alichofanya na chama cha Madakitari (chini ya rais wao Dr Osati) kinatoa matumaini mapya kwa watanzania.
Mrejesho wa kikao cha wanataaluma na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia...
Polisi Ruvuma wanamshikilia Ibrahimu Bukuku kwa kusambaza ujumbe WhatsApp kupotosha kuhusu dawa ya Corona, ukisomeka, " Dawa ya corona twanga pilipili kichaa sufuria 1 halafu changanya na maji vikombe 5, kunywa kutwa mara 7 kwa siku 3, siku ya 4 chuma upupu kisha jipake".
Jeshi la Polisi...
WanaJF,
Bila kuandika mengi, ombi kwa Serikali ni kupumzisha ndugu zetu kwa heshima na kwa utaratibu unaoeleweka na kwa uwazi.
Kwa sasa Serikali imeamua kutumia "HERD IMMUNITY" kama njia ya kupambana na huu ugonjwa. Hii ni kutokana na kauli ya Rais alipozungumza na wakuu wa vyombo vya ulinzi...
Nchini singapore ni kosa mtu kutoka bila kuvaa barakoa/ mask ! endapo hili litakiukwa mtu atalipishwa faini ya $300 na akirudia atalipishwa $1,000
Czech republic na slovakia ni nchi nyingine ambazo zimepitisha sheria ya kila mtu lazima avae barakoa ili kupambana na ugomnjwa huu wa COVID19...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.