A CPA (Cooperativa de Producción Agropecuaria), or Agricultural Production Cooperative, is a type of agricultural cooperative that exists in Cuba today.
Kutana na dada wa kazi alieenda shule Ella ambaye yeye anasema kazi yake ni usaidizi wa kazi za nyumbani.
Anasema licha ya kuwa na CPA yeye ni dada wa kazi na anafurahia kazi hiyo.
Habari wadau?
Najiuliza why board ya uhasibu ina best students kwenye mitihani yao ya kupata CPA
Why Law school haina mambo ya nani best student?
Why ERB haina mambo ya best student?
Habari wakuu!!
Mimi ni member wa NBAA nilijisajili mwaka 2011 wakati ule tunafanya module e na f sikufanikiwa kumaliza nikawa nimepiga masters toka kipindi hicho hadi sasa sijawahi fanya tena iyo mtihani.
Sasa natamani kurudi kufanya mitihani ya CPA, naomba mwenye kujua naanzia stage ipi na...
Habari za sasa hivi.
Nimemaliza chuo degree ya uhasibu nataka niende kusoma CPA kwahiyo nilikuwa nauliza gharama ya kusoma hiyo CPA kwenye intermediate level itacost sh ngapi?
Natanguliza shukrani za dhati kwenu wote
Tunaweza kujadili miaka yote juu ya professional bodies mbali mbali lakini kuna mambo mengi yaliyojificha ndani yake. Sehemu kubwa hii ni biashara kwa wachache.
Mitihani ya CPA watahiniwa wamekuwa wakifeli kila mwaka kwa wingi. Hata matokeo yake mengi huwa ni ya kupanga tu! Rushwa kibao! Leo...
Tukiwa bado kwenye mjadala TRAT na TRAB. Leo ndo Leo vijana wanagraduate CPA(T) huko Bunju Ni mwendo sherehe mji mzima! Uchumi wa Kati unakuja kwa baraka zote.
Hongereni wahitimu wote kapigeni kazi Kwa uadilifu kulingana na maadili ya KAZI yenu.
Inapendeza Sasa CPA(T) kila anayesomea anaipata...
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kujua ni sehemu gani naweza kupata review classes za CPA pamoja na kituo cha mitihani maeneo ya bukoba.
Thanks in advance.
Duh aisee ule mziki wa CPA sijawahi ona, ulinipeleka mchaka mchaka mno hata nikiunganisha msuli wa form 6 E.C.A na degree bado haifiki hata robo, hata wanaotoka cpa kwenda masters huwa ni kama wameenda likozo na wanapasua masters si mchezo, lakini utoke masters uje cpa ni shughuli pevu...
Habari wakuu kwa matokeo haya
English D
Kiswahili D
Civics F
Biology D
geography C
B.math C
History D
Four ya 27
Hayo matokeo ni ya 2012 ,Sasa nataka kujua Kama ataweza kusoma CPA na aanzie wapi na itamchukua muda gani kumaliza na vipi kuhusu ada
Pia Kama Kuna vyuo vinavyotoa hio course...
Jana nilikuwa naongea na bwana mdogo anafanya mitihani ya wahasibu ya CPA mbayo inaanza jumanne. Bwana mdogo amefanya hii mitihani muda mrefu sasa jana namuuliza unamaliza lini mbona kila mara unarudia rudia, dogo akajitetea kwamba kutokana na shughuli zake huwa anakosa muda wa maandalizi vizuri...
Spika wa Bunge Job Ndugai amesema anakerwa na kada nne ambazo zinatukuza usomi wao mbele ya Watanzania wasiopenda kujikweza.
Amezitaja kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati si lazima iwe hivyo...
Hello members,
Nimeanza kusoma CPA NBAA Tanzania. Nipo foundation Level. Bado sijatembelea vituo vingi vya tuition. Najisomea taratibu kila nipatapo chance.
Karibuni tujadili mawili matatu.
Kuna mjamaa mmoja yupo ameajiriwa sehemu rasmi ana sifa zote za kuwa na mshahara usiopungua 3m kwenda juu .maana anayo master ya fedha na anayo CPA kapata mwaka juzi lkn mpk sasa analipawa laki 3 .alikuja kwangu kuniomba ushauri nikamwambia poa nitakupa.maana yeye anataka aache kazi ili ajiajiri...
Habari ndugu zangu,
Mimi ni mwalimu wa hesabu na uchumi shule ya serikali nipo vijijin lindi,nilikua nahitaji kusoma CPA lakini review classes zote zipo maeneo ya mjini hasa Dar, pia hofu yangu ni je naweza kukubaliwa kusoma kwa miez kadhaa then nirudi kazini?
(I.e kusoma foundation 4 months)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.