Habari ndugu zangu,
Mimi ni mwalimu wa hesabu na uchumi shule ya serikali nipo vijijin lindi,nilikua nahitaji kusoma CPA lakini review classes zote zipo maeneo ya mjini hasa Dar, pia hofu yangu ni je naweza kukubaliwa kusoma kwa miez kadhaa then nirudi kazini?
(I.e kusoma foundation 4 months)...