Benki ya CRDB imezindua rasmi msimu mpya wa mashindano ya mpira wa miguu na mpira wa pete yanayowahusisha wafanyakazi wake yanayotambulika kama βCRDB Bank Supa Cup 2024β, yaliyoanza kutimua vumbi siku ya Jumapili, tarehe 1 Septemba 2024, Jijini Dodoma.
Mashindano hayo yanayolenga kuongeza ari...