crdb federation cup

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gamond "Young Africans na Azam FC wamekuwa na michezo bora msimu huu"

    Young Africans na Azam FC wamekuwa na michezo bora msimu huu, najua kesho kutakuwa na upinzani mkubwa na sisi tumejiandaa na hilo Mchezo huo wa Fainali utapigwa katika uwanjwa wa New Amaan Complex Zanzibar saa mbili na dakika 15 usiku Nani kusepa na kombe hilo?
  2. FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #CRDBBankFederationCup ⚽️ Ihefu SCπŸ†šYoung Africans SC πŸ“† 19.05.2024 🏟 Sheikh Amri Abeid πŸ•– 09:30 Alasiri Kikosi kinachoanza dhidi ya Ihefu SC Mpira umeanza Dakika ya 1 Dakika ya 5 Yanga SC wanafanya shambulizi Dakika ya 10 Yanga SC wanapata Kona bado ni 0-0 Dakika ya 15 0-0...
  3. FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

    Mabingwa wa nchi Young Africans leo wanashuka dimbani kumenyana na Tabora United katika hatua ya robo fainali ya michuano ya CRDB Bank Federation cup. Mchezo huu utapigwa katika dimba la chamazi majira ya saa 2:30 za usiku 00" Mpira umeanza........ 01" Yanga wanapata kona dak ya kwanza ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…