kabisaUkweli usemwe, reasoning ya Watanzania iko chini sana na wewe ndio mfano.
Sasa Yanga amkimbie simba kwa kipi?Mmekakamaa.. ooh Hatuchezi Hatuchezi..nawauliza je ikitokea mnakutana na Mnyama Simba kwenye mashindano ya shirikisho ya CRDB nako mtakimbia?
Yani mtu kafungwa mechi nne mfululizo kashindwa kupata hata draw.Ukweli usemwe, reasoning ya Watanzania iko chini sana na wewe ndio mfano.
Yanga imegomea kucheza mchezo namba 184 uliotakiwa kuchezwa tarehe 08/03/2025!Mmekakamaa.. ooh Hatuchezi Hatuchezi..nawauliza je ikitokea mnakutana na Mnyama Simba kwenye mashindano ya shirikisho ya CRDB nako mtakimbia?
Swali zuri sana, ila hawa vingunguti wameshindwa kukuelewa.Mmekakamaa.. ooh Hatuchezi Hatuchezi..nawauliza je ikitokea mnakutana na Mnyama Simba kwenye mashindano ya shirikisho ya CRDB nako mtakimbia?
Na hii habari ya kuifunga Simba mara 4 mfululizo mmekaririshana ila sijui mnaitoa wapi. Wazee wa propaganda mkishalishwa maneno mnawehuka.Yani mtu kafungwa mechi nne mfululizo kashindwa kupata hata draw.
Kakimbia tar 8 kwa sababu za kitoto halafu anakwambia Yanga anaiogopa Simba.
Kwani hatuja kutana kwenye ngao na ligi ?Mmekakamaa.. ooh Hatuchezi Hatuchezi..nawauliza je ikitokea mnakutana na Mnyama Simba kwenye mashindano ya shirikisho ya CRDB nako mtakimbia?
...wameenda mbali kusema hawana imani na TFF na Bodi. Sasa sijui CRDB inasimamiwa na Tume ya Uchaguzi?Yanga imegomea kucheza mchezo namba 184 uliotakiwa kuchezwa tarehe 08/03/2025!
Mchezo huo uliahirishwa na Bodi ya ligi baada ya simba kususa kucheza kwa kisingizio cha kuzuiwa na mabaunsa wa Yanga kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi!
Ila mkikutana na Yanga kwenye mchezo mwingine wowote ule, mpira utachezwa (kama hamtakimbia tena), na kichapo chenu kiko pale pale. Na hata itokee mwamuzi wa kati ni Tatu Malogo, Kepha Kayombo, Japhet Smart, au Shomary Lawi! Bado mtafungwa tu.
itoshe tu kusema jamaa ni bwegeUkweli usemwe, reasoning ya Watanzania iko chini sana na wewe ndio mfano.
Nyie mnaNa hii habari ya kuifunga Simba mara 4 mfululizo mmekaririshana ila sijui mnaitoa wapi. Wazee wa propaganda mkishalishwa maneno mnawehuka.
Katika mechi 7 zilizopita za ligi kati ya Yanga vs Simba, Yanga imeshinda michezo mitatu tu.
Nyie mnao taka kucheza tarehe 15 wale mabaunsa bado wapo mtakimbia tena?Swali zuri sana, ila hawa vingunguti wameshindwa kukuelewa.
Wamegoma kucheza mechi nyingine yoyote ya derby msimu huu kwa kuwa wamesema hawautaki uongozi wa sasa wa bodi ya ligi. Swali, mbona wanacheza mechi zingine zinazosimamiwa na bodi hiyo hiyo na kufuata mabadiliko ya ratiba yanayofanywa na bodi hiyo hiyo?