Yanga mtakataa kucheza ikitokea mnakutana na Simba kwenye CRDB Federation Cup?

Yanga mtakataa kucheza ikitokea mnakutana na Simba kwenye CRDB Federation Cup?

Timu inacheza vipindi vitatu, kila mechi refa lazima awe man of the match, mechi ya Mashuja na Namungo mpaka watu wanaona aibu, maana matukio haya helezeki,mtu kapewa kadi nyekundu baadae TFF wakaamua waifute, juzi mechi imecheza vipindi tatu, penalty nyingine hazi elezeki.
Kama msivyoeleweka nyie na timu zenu 8...
Ubayaa ubwelaaaa
Ubayaaaa ubwelaaaa
Ubayaa ubwelaaaaa
 
Mmekakamaa.. ooh Hatuchezi Hatuchezi..nawauliza je ikitokea mnakutana na Mnyama Simba kwenye mashindano ya shirikisho ya CRDB nako mtakimbia?
Tumia kichwa vizuri,issue siyo Simba,issue ni majibu ya upuuzi wa tff na TPLB kuhusu 8/3/2025
 
Mmekakamaa.. ooh Hatuchezi Hatuchezi..nawauliza je ikitokea mnakutana na Mnyama Simba kwenye mashindano ya shirikisho ya CRDB nako mtakimbia?
Nimeamini Watanzania wengi ni mbumbumbu.
 
Mmekakamaa.. ooh Hatuchezi Hatuchezi..nawauliza je ikitokea mnakutana na Mnyama Simba kwenye mashindano ya shirikisho ya CRDB nako mtakimbia?
Mimi ni shabiki wa simba ila hapa umeandika upuuzi, yanga shida yao sio simba bali viongozi wa hovyo wa tff na bodi ya ligi, mechi namba 184 iliahirishwa kizembe mno.
 
Hii ndio jamii ya mbumbumbu walio tukuka. Kuchanganya mchezo namba 184 wa NBC premier league na michezo mingine ni u mbumbumbu ulio tukuka.
 
Back
Top Bottom