Yanga mtakataa kucheza ikitokea mnakutana na Simba kwenye CRDB Federation Cup?

Yanga mtakataa kucheza ikitokea mnakutana na Simba kwenye CRDB Federation Cup?

Na hii habari ya kuifunga Simba mara 4 mfululizo mmekaririshana ila sijui mnaitoa wapi. Wazee wa propaganda mkishalishwa maneno mnawehuka.

Katika mechi 7 zilizopita za ligi kati ya Yanga vs Simba, Yanga imeshinda michezo mitatu tu.
Hivi na ile propaganda ya makombe 30 ya ligi wametoa wapi, mbona ukifuatilia toka mwaka 65 yanga wana makombe 25 ya ligi, au labda Mimi ndio kuna mahali sijaelewa hapo
 
...wameenda mbali kusema hawana imani na TFF na Bodi. Sasa sijui CRDB inasimamiwa na Tume ya Uchaguzi?
Kwani walichokisema ni uongo! Tangu Wallace Karia aingie madarakani pamoja na Bodi yake ya ligi, wamekuwa wakifanya mambo ya kipuuzi tu kwa kuonesha waziwazi upendeleo kwa timu ya simba.

Ni uvumilivu tu ndiyo umeifikisha Yanga na viongozi wake mpaka leo.
 
Wewe upon Dunia gami?yanga wamekwisha sema kwenye kombe la crdb wapotayari kucheza na Simba endapo watakutana.
Kwahiyo unakataa kula Nyama ya Nguruwe lakini mchuzi wake unakunywa??;hizo akili Matope?!
 
Swali zuri sana, ila hawa vingunguti wameshindwa kukuelewa.

Wamegoma kucheza mechi nyingine yoyote ya derby msimu huu kwa kuwa wamesema hawautaki uongozi wa sasa wa bodi ya ligi. Swali, mbona wanacheza mechi zingine zinazosimamiwa na bodi hiyo hiyo na kufuata mabadiliko ya ratiba yanayofanywa na bodi hiyo hiyo?
wapi yanga amesema hachezi mechi yoyote ya dabi

yanga hachezi mchezo namba 184 ila mwingine wowote anaupiga
 
Hivi na ile propaganda ya makombe 30 ya ligi wametoa wapi, mbona ukifuatilia toka mwaka 65 yanga wana makombe 25 ya ligi, au labda Mimi ndio kuna mahali sijaelewa hapo
Yaani hawa watu wana matatizo mno. Wakishaambiwa jambo, wanalishikilia hapo hapo hata wakija kupata facts zinazokinzana na kile walichoambiwa mwanzo.
 
Na hii habari ya kuifunga Simba mara 4 mfululizo mmekaririshana ila sijui mnaitoa wapi. Wazee wa propaganda mkishalishwa maneno mnawehuka.

Katika mechi 7 zilizopita za ligi kati ya Yanga vs Simba, Yanga imeshinda michezo mitatu tu.
We umeshinda michezo mingapi kati ya hiyo 7?
 
Kabla sijakujibu, kwanza kiri takwimu zenu ni za uongo
Takwimu gani za uongo?

Regardless of the type of competition kwenye mechi nne za mwiso ambazo simba na yanga wamekutana Yanga ameshinda zote nne.

This is fact.
 
Takwimu gani za uongo?

Regardless of the type of competition kwenye mechi nne za mwiso ambazo simba na yanga wamekutana Yanga ameshinda zote nne.

This is fact.
Ni fact pia ukiangalia mechi 7 za ligi dhidi ya Simba, Yanga ameshinda mechi 3 tu.
 
We umeshinda ngapi?

Suluhu ngapi?

Mbona utaki kujibu hili swali?
Kama unajua umeshinda ngapi mfululizo ila kwa kuchezea takwimu, nadhani utakuwa unajua vizuri tu draw ni ngapi na ulifungwa ngapi
 
Back
Top Bottom