Yanga mtakataa kucheza ikitokea mnakutana na Simba kwenye CRDB Federation Cup?

Yanga mtakataa kucheza ikitokea mnakutana na Simba kwenye CRDB Federation Cup?

Mmekakamaa.. ooh Hatuchezi Hatuchezi..nawauliza je ikitokea mnakutana na Mnyama Simba kwenye mashindano ya shirikisho ya CRDB nako mtakimbia?
Acha ujinga, kwani huko CRDB kuna mechi namba 184??? Ficha upumbavu wako.
 
...wameenda mbali kusema hawana imani na TFF na Bodi. Sasa sijui CRDB inasimamiwa na Tume ya Uchaguzi?
Mtu mmoja anaweza akawa sawa huku,na asiwe sawa kwengine. Wewe kwa akili yako, umewahi wasikia akina Karia na yule mwenyekiti wa bodi ya ligi wakiropoka juu ya CRDB conf. cup? Si wanaropoka kuhusu mchezo mmoja tu namba 184 wa NBC league??

Mbumbumbu umekwama kwenye umbumbumbu
 
Yanga imegomea kucheza mchezo namba 184 uliotakiwa kuchezwa tarehe 08/03/2025!

Mchezo huo uliahirishwa na Bodi ya ligi baada ya simba kususa kucheza kwa kisingizio cha kuzuiwa na mabaunsa wa Yanga kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi!

Ila mkikutana na Yanga kwenye mchezo mwingine wowote ule, mpira utachezwa (kama hamtakimbia tena), na kichapo chenu kiko pale pale. Na hata itokee mwamuzi wa kati ni Tatu Malogo, Kepha Kayombo, Japhet Smart, au Shomary Lawi! Bado mtafungwa tu.
Umefanya uungwana sana mkuu, Nisingemjibu hivi
 
Uto mnataka ligi iendeshwe na bodi za chai na maziwa ili mbadili milo yenu kutoka supu na chapati kuwa chai na chapati?

Hamna imani na bodi na TFF ila mmevuka kwa mitumbwi hadi Chakechake, Pemba kushiriki bonanza lilioandaliwa na hao hao mnaowakataa.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Na hii habari ya kuifunga Simba mara 4 mfululizo mmekaririshana ila sijui mnaitoa wapi. Wazee wa propaganda mkishalishwa maneno mnawehuka.

Katika mechi 7 zilizopita za ligi kati ya Yanga vs Simba, Yanga imeshinda michezo mitatu tu.
1746817962817.png

Mwana Mbumbumbu FC, Ngada FC, Kolo wizard, Pambana na hii. Uje na majibu.
CC Bantu Lady, Kalpana, GENTAMYCINE, Mshana Jr etc
Mind you, hii nitaserereka na wewe hadi ukubali kuwa mmefungwa na Yanga mara 4 mfululizo. labda uwaombe hao niliowataja wakuombee msamaha. Naamini Tate Mkuu atanipa sapoti kubwa sana kwenye hili hadi unyooke KOLO WEWE.!!!
 
Je pacome yupo fit?
Uzuri wa Yanga kwa sasa, hatajwi mmoja kama anavyotajwa Mpanzu huko makoloni. Mkabe mzize, Aziz Ki atakuweka, Mkabe Chama, Dube yumo, Mkape Ezra Boka atakufanya ujiweke, Mkabe Musonda wonder kid atakushindiria, mkabe Aucho, Musonda yumo...!! Ukisikia kikosi kipana ndo HIKI CHA cha Yanga sasa..!!
 
Bado unachemka we kolo. Umeambiwa mara 4 mfululizo. Hakuna aliyetaja mashindano gani mmefungwa mara 4 mfululizo. Swali, kuna aliyesema kwenye mashindano yepi mmefungwa mara nne mfululizo? Yaani nyie MAKOLO, haijalishi mashindano mpo kwenye mashindano gani na YANGA, mkitia timu tu, mnaliwa makalio. Halafu nimekuwekea tarehe za mechi na matokeo, je hazifiki mara nne?
 
Ukweli usemwe, reasoning ya Watanzania iko chini sana na wewe ndio mfano.
Umeandika hisia zangu mkuu.. hii nchi watu wajinga wengi sana.
Sasa hapo mtoa mada anahisi kabisa kafikiri hadi kuja na swali kama hilo.
Anyway simba na yanga zimeharibu bongo za watu wengi sana
 
Yanga imegomea kucheza mchezo namba 184 uliotakiwa kuchezwa tarehe 08/03/2025!

Mchezo huo uliahirishwa na Bodi ya ligi baada ya simba kususa kucheza kwa kisingizio cha kuzuiwa na mabaunsa wa Yanga kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi!

Ila mkikutana na Yanga kwenye mchezo mwingine wowote ule, mpira utachezwa (kama hamtakimbia tena), na kichapo chenu kiko pale pale. Na hata itokee mwamuzi wa kati ni Tatu Malogo, Kepha Kayombo, Japhet Smart, au Shomary Lawi! Bado mtafungwa tu.
Umeuwa..!!!
 
Mmekakamaa.. ooh Hatuchezi Hatuchezi..nawauliza je ikitokea mnakutana na Mnyama Simba kwenye mashindano ya shirikisho ya CRDB nako mtakimbia?
Mzee huna hoja huna akili pia huna tako
 
Bado unachemka we kolo. Umeambiwa mara 4 mfululizo. Hakuna aliyetaja mashindano gani mmefungwa mara 4 mfululizo. Swali, kuna aliyesema kwenye mashindano yepi mmefungwa mara nne mfululizo? Yaani nyie MAKOLO, haijalishi mashindano mpo kwenye mashindano gani na YANGA, mkitia timu tu, mnaliwa makalio. Halafu nimekuwekea tarehe za mechi na matokeo, je hazifiki mara nne?
Ili nisirudie sana maneno yangu, rudia majadiliano yaliyokuwepo hapo juu na pia pitia uzi huu.

Simba kufungwa mara nne mfululizo siyo dili kama tunavyoaminishwa
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Swali zuri sana, ila hawa vingunguti wameshindwa kukuelewa.

Wamegoma kucheza mechi nyingine yoyote ya derby msimu huu kwa kuwa wamesema hawautaki uongozi wa sasa wa bodi ya ligi. Swali, mbona wanacheza mechi zingine zinazosimamiwa na bodi hiyo hiyo na kufuata mabadiliko ya ratiba yanayofanywa na bodi hiyo hiyo?
Mbumbumbu pro max
 
Mmekakamaa.. ooh Hatuchezi Hatuchezi..nawauliza je ikitokea mnakutana na Mnyama Simba kwenye mashindano ya shirikisho ya CRDB nako mtakimbia?
Watacheza watake wasitake
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Mmekakamaa.. ooh Hatuchezi Hatuchezi..nawauliza je ikitokea mnakutana na Mnyama Simba kwenye mashindano ya shirikisho ya CRDB nako mtakimbia?
Kwani Simba alikimbia kwenye mashindano ya shirikisho crdb?
 
Back
Top Bottom