Jioneeni wenyewe katika picha hii nimefika hapa takribani dakika 30 nasubiri foleni ya kupata huduma kwa bank teller.
Wamejenga teller 8 ajabu tano zipo tupu, waiting line/ que ni kubwa sana takriban watu 60 wengine wamekaa.
Kwanini inakuwa hivi, huyu meneja ana kazi gani? Teller 5 zipo tupu...
Nimepata changamoto za mara kwa mara kwenye mifumo inayohusiana na CRDB ,na nimesikia malalamiko toka kwa watu kadhaa sijajua tatizo ni nini hasa??
1. POS system ni hovyo kabisa ..mara nyingi system iko down na hii imenigharimu sana muda na hela.POS za mawakala nazo ni failure kabisa naona...
CRDB Bank PLC is looking for suitable person to fill a vacant position of Senior Manager; Investor Relations in the Department of Business Transformation at the Head Office, in Dar es Salaam.
Job purpose
To ensure that the Bank is appropriately and strategically positioned with analysts...
Wadau hakuna Branch inayoongoza kwa kusumbua wateja DSM kama branch ya Lumumba mkabala na stendi ya mnazi mmoja.
Huduma ya mikopo wamekuwa wasumbufu mno, kiasi cha kukatisha tamaa. Wanajinadi kutoa Huduma hiyo ndani ya wiki moja, lakini cha ajabu waweza pigwa danadana mpaka wiki 3-4.
Kitengo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.