Hizi siku tatiu
NImEKUWA na shida sana na mtandao WA max yas
Imefika wakati UNANUNUA luku token za. Tanesco huzion
Unapiga OFISIN mfanyakazi anawaza kupokea simu 10 mins kama ANAPOKEA condom
Sio hayo tu HATA kununua bundle imekuwa shida
Na Hilo bundle ukinunua kulifanyia kazi shida una gb 1...
Desemba 25 nilienda Ku withdraw pesa ATM. Kadi ikamezwa, nikapiga namba ya simu iliyobandikwa ukutani ndani ya ATM. Baada ya dakika 10 wahudumu wakaja, wakaingia ndani na kuniletea kadi yangu✅. Yaani desemba 25 wako kazini. Big up.
Nchi hii suala la kumjali Mteja ni kama halipo.
Majuzi nilitaka kununua tiket za ndege kwa kutumia Master card kwa benki pendwa ya NMB sasa kila nilijaribu inagoma.
Napiga customer care wananiambia hadi kesho Yale asubuhi niende kwenye Tawi nililofungulia akaunti. Daah!
Habari, mfumo wa ajira portal umekua kero kwa watumiaji kwani endapo kuna kosa basi mfumo hauna optiona ya kufuta kosa hilo (hasa kipengele cha accademic qualification) pia ukiwapigia simu hawapokei unapata ujembe the caller is busy ama wanakuwekea vijinyimbo vya hovyo huku ukipoteza salio lako...
Habari zenu?
Naomba kujua ni namba gani ni naweza kupiga ili niongee na customer care wa Vodacom.
Namba hii +255754700000 na namba 100 hazileti option ya kuongea na mhudumu asubuhi hii.
Mwisho Vodacom mpunguze wizi. Leo mmeniibia Sana bando zaidi ya Mara tatu.
Sio poa
Dar Es Salaam, Tanzania,
WATU is a focus driven, customer-centric company that believes everyone deserves the opportunity to be an entrepreneur and achieve their ambitious goals in life.
As Africa’s fastest-growing Asset Finance Company, we see the continent’s bright and prosperous future and...
Dar Es Salaam, Tanzania
Position: Customer Care Intern, Dar es Salaam. Tanzania.
About WATU:
WATU is a focus driven, customer-centric company that believes everyone deserves the opportunity to be an entrepreneur and achieve their ambitious goals in life.
As Africa’s fastest growing Asset...
We mdada wa CRDB tawi la Mwanza customer care desk, kwanza nakuombea kwa mungu uzidi kukupa afya njema vingine nitafanya mimi, ninafanya juuchini nikupate, iwe ni kwa upendo, dua, viringe ama pesa nitazitoa ili tu uwe wangu.
Nimekutazama vizuri, una uzuri wa sauti, tabasamu, karangi kako dark...
Haya mambo unaweza ukalia.
Nimepata emergency natakiwa niwasiliane na watoa huduma wa CRDB. Aisee, wameniwekea wimbo wa Swaiba zaidi ya nusu saa.
Mara ya kwanza nikajua wamezidiwa na wateja ila nimegundua watakua hawapuuzia tu simu hawa.
Kwokwote walipo, kuanzia Meneja na team zenu, mna laana...
Aisee nimepata changamoto kisimbuzi changu hakioneshi licha ya kuwa katika same settinf kwa zaidi ya mwaka ghafla tu kikaanza kukata ikifika usiku na kurudi hewani pakikucha. Ikaenda zaidi ikasema invalid cam module detected.
Nikasema niwasiliane na Azam TV customer care. Zile simu zao nimepiga...
Ndugu zangu naomba nitoe la moyoni kuhusu Air Tanzania Head office. Kama wakisoma na wakikasirika ni sawa tu. Sio wote humu ndani tunaishi Tanzania tuna book ticket online tunahitaji confirmation kuhusu ndege na kila kitu ila ukipiga simu kwanza wafanyakazi wana dharau sana tena sana na pia...
Kama kichwa Cha habari ..... Kila nikipiga 100 wanaongea wao tu ..na nimetuma Hela home Kuna DHARURA Hela wamekata home haijafika. Napiga customer care wanaongea wao tu hakuna option ya kuongea na customer care. Anayejua namna ya kuwapata Msaada tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.