Hawa wadada wanaopokea simu zetu kutusaidia matatizo mbalimbali ya decoder za azam kiukweli waliopo azam wanasikitisha sana. Wadada hawa wanapokea simu kama vile hawataki kuzungumza na mteja. Hawaonekani kama wana tabasamu au wanaipenda kazi yao.
Unaongea na mdada anakukatisha au anamalizia...
Wakuu habari za mchana,
Hivi airtel leo wanafanya makusudi au? Maana nimehamisha hela kutoka airtel kwenda bank tangia asubuhi saa moja ila hadi sasa hela haijafika destination. Napiga simu huduma kwa wateja tangia hiyo saa moja naambulia kusikilizishwa matangazo sababu eti wanapokea simu...
Sifa
1. Uwe na ushawishi mkubwa sana katika kuongea na wateja
2. Uwezo wa kujieleza vizuri bila uoga pamoja na lugha safi
3. Ujuzi wakufanya marketing itakuwa sifa ya ziada
4. Unadhifu wakati wote
5. Elimu haitakuwa kigezo kikuu kama anakidhi sifa hapo juu
6. Kazi itakuwa ya mkataba mwaka mmoja...
Sifa:
1. Uwezo mzuri sana katika masoko, mauzo na huduma kwa wateja
2. Awe tayari kufika kazini kabla ya saa 12:30 asubuhi na kuondoka saa 12:00 jioni kwa Jumatatu mpaka Ijumaa na kuanzia saa 1:30 asubuhi mpaka saa 12:00 jioni kwa Jumamosi
3. Awe tayari kufanya kazi yenye matokeo chini ya...
Scope of the position and its expected outputs:
The Customer Services Manager is the Head of the Department responsible for all business matters pertaining to customer services, billing, and revenue follow up and ensuring customers’ satisfaction to meet Authority’s Vision and Mission...
Customer Service Agent
Ethiopian Airlines (Ethiopian) is the flag carrier of Ethiopia. During the past seventy plus years, Ethiopian has become one of the continent’s leading carriers, unrivalled in Africa for efficiency and operational success, turning profits for almost all the years of its...
Habari Wana JF! Poleni kwa shughuli za kila siku za ujenzi wa taifa letu pendwa. Leo npo jukwaa hili nipate mawazo/maoni/ushauri wenu.
Kwa sasa ninafanya kazi za sales kwenye kampuni moja ndogo hapa jijini Dar es Salaam. Ajira hii naitumikia kuanzia asubuhi saa 1 na hadi kufikia mchana saa 6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.