customer care

Customer service is the provision of service to customers before, during, and after a purchase. The perception of success of such interactions is dependent on employees "who can adjust themselves to the personality of the guest".
Customer service concerns the priority an organization assigns to customer service relative to components such as product innovation and pricing. In this sense, an organization that values good customer service may spend more money on training employees than the average organization or may proactively interview customers for feedback.
From the point of view of an overall sales process engineering effort, customer service plays an important role in an organization's ability to generate income and revenue. Customer service also plays a crucial role in both increasing and maintaining customer loyalty, the tendency of a customer to do repeat business with a company in the future. One good customer service experience can change the entire perception a customer holds towards the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. V

    Sikujua kama customer care ya DSTV ni ya ovyo sana

    Salaams Wana bodi, Hawa DSTV nimejiunga kifurushi toka jana mpaka kunakucha nimeshaongea na customer care wanne tofauti tofauti lkn hakuna aliyenitatulia tatizo langu. Kibaya zaidi kilichonikera ni kuniblock namba zangu nisiweze kuwapata tena. Kesho nanunua king'amuzi cha mtandao mwingine...
  2. Sambinyakwe kitololo

    Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

    Nimeenda duka la simu kuulizia kitu fulani, mwenye duka alishakuwa maarufu ndiyo maana niliagiziwa pale, nimeshangaa sana yuko makini na Instagram, hanisikilizi. Mara ana 'screenshot' Instagram anamtumia mfanyakazi wake namuongelesha hanisikilizi. Hivi tutafika kweli kwa mtindo huu? Kwamba duka...
  3. Noizee maker

    Nilipokosa cha kufanya kwa simu yangu nikaamua kutongoza customer care

    Siku moja niko zangu nimetulia tu hata sijui siku inaendaje,basi wakati nachezea simu mara paap nikapata wazo la kutongoza customer care 😂 Chap tu nikapiga 100 kila nikisikia sauti ya kiume nakata mara paap mtoto akapokea, hello naitwa mary unaitwa nani na unapiga simu kutoka wapi? Nikamjibu...
  4. beatboi

    Nataka nimfungulie kesi aliyejitambulisha kama Customer care wa Halotel kwa kunitukana bila sababu

    Habari zenu watoto wa mama (SSH) Nimejikuta wiki nzima imeharibika baada ya kupokea matusi kutoka kwa mtu ambaye amejitambulisha ni mtoa huduma kwa wateja (customer care). Nilikuwa nimepumzika zangu majira ya asubuhi ghafla nikapokea simu kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa anatoka kitengo...
  5. Damidizzo

    Kuna mtu amewasiliana na Customer Care ya Sensa?

    Jamani kama kuna ambae amefanikiwa kuwasiliana na customer care wa sensa wanasemaje kuhusu ambao hawajapata meseji ya nywila au namna ya kupata namba ya siri kwa ujumla?
  6. Bratherkaka

    Mtei bus - bad customer care (T305 DTS)

    Habari, Jana nimepata bad exeprience na basi la MTEI (T305 DTS) kutoka tanga to Arusha, ni mara ya kwanza kwenye historia ya maisha yangu yakusafiri na mabasi. Wakati wakushuka konda anaomba hela ya kulipisha mzigo. Sijui jinsi ya kuweza kutatua hili tatizo, nimejaribu kuwapigia simu yao...
  7. Doctor Mama Amon

    Kwa Mkurugenzi wa BRELA: Naomba kujua namba za simu za customer care staff wako zinazofanya kazi

    Mheshimiwa Mkurugenzi wa BRELA, Hizi ni zama za kidijitali, na tuko fourth industrial revolution. Lakini hapo kwako BRELA kuna tatizo. NImeingia mfumo wa ORS nimekwama, na hakuna namna ya kupata msaada wa haraka kutoka customer care office ya BRELA. Nimechukua namba za customer care staff...
  8. Linguistic

    Wahudumu wa Shishi Food Dodoma wajifunze kauli nzuri kwa wateja

    Jana nilienda kula chakula cha mchana pale Shishi Food Dodoma. Wakati nafika nikamkuta jamaa analumbana na mhudumu kisa amemuita aje kumhudumia akamjibu nakuja lakini hakuja ontime, kwa maana alikuja amechelewa na akamjibu majibu ambayo sio mazuri The same kwangu pia maana niliketi more than...
  9. Grena

    Vodacom mbona hamuweki option ya kuongea na customer care?

    Habari zenu wakuu, Karibu wiki Sasa laini yangu ya Vodacom imekuwa na shida. Kila nikijaribu kupiga Ile namba ya huduma kwa wateja 100 ili wanipe maelekezo hamna Option ya kuzungumza na mhudumu zaidi ya zile bonyeza moja, Bonyeza this, Bonyeza that. Inaamana Vodacom hawana option ya kuzungumza...
  10. Mr. MTUI

    Customer Care mitandao ya simu mnatusikilizia matangazo nusu saa nzima

    Mna Mambo ya ajabu Sana. Yaani mtu akipiga simu atawekewa matangazo mpaka atajuta na kukimbia mwenyewe. Najiuliza lengo la mtu kiwapigia simu ninl kusikiliza matangazo au kuelezea hitaji lake. Coz wakati mwingine mtu anahitaji huduma ya haraka, huemda amekosea namba or something. Sasa...
Back
Top Bottom