Habari,
Jana nimepata bad exeprience na basi la MTEI (T305 DTS) kutoka tanga to Arusha, ni mara ya kwanza kwenye historia ya maisha yangu yakusafiri na mabasi.
Wakati wakushuka konda anaomba hela ya kulipisha mzigo. Sijui jinsi ya kuweza kutatua hili tatizo, nimejaribu kuwapigia simu yao...