Cyanide ni kemikali yenye sumu kali inayoweza kusababisha kifo ndani ya muda mfupi baada ya kuvuta, kula, au kugusa. Mara nyingi cyanide hupatikana katika hali ya kimiminika katika fomu ya Hydrogen-cyanide (HCN)ambayo ikiwekwa wazi ubadirika na kuwa Gas, ambayo ukiivuta uwa hatari. Sumu hii pia...