cyber

  1. Bossprota

    ABC'z kuhusu cyber forensic

    Samahani Wakubwa Nahitaji Kujua Maeneo Unayoweza Kwenda Kuomba Kazi Au Kuaply Maombi Kwa Mtu Aliesomea Masuala Ya Cyber Forensic Kwa hapa. Tanzania Maana Nimejaribu Kuuliza Wengi Walioko Kwenye Hii Fani Hawanipi Maelezo Ya Kutosha Mfano Nimeuliza Baadhi Ya Wapelelezi. Inaonyesha Hawajui...
  2. Jamii Opportunities

    Manager: Cyber Prevent & Demand at VODACOM April, 2022

    Role Purpose This role is responsible for effective planning and execution of Cyber security Technologies & Tooling, projects, and operations. This includes identification of security needs (demands) using Capacity growth and trends, coordinating delivery of the needs, and ensuring security...
  3. ICT_student_TZ

    Cyber security Community

    Hellow it's long time sijawa active humu haswa hili jukwaa la tech..baada ya jukwaa kuvurugika sioni nyuzi zimazohusu Cyber security (hacking,other IT stuffs) Siwaoni akina x0z,rootadmin, Mr anonymous,The freedom,Kali linux etc Leo nmekuja kutoa Kam my recommendations. Kam still Kuna wadau...
  4. Offshore Seamen

    Tanzania tujifunze kupitia Transnet Cyber Attack, iliyotokea South Africa

    Marine Cyber Attack ni uvamizi wa mifumo ya uendeshaji wa shughuli za Meli na Bandari. Ambayo inahusisha Bandari, mawakala wa Meli na forodha, idara za Kodi na wenye mizigo. Shirika la kimataifa linalosimamia Mambo ya Bahari, International Maritime Organization (IMO) baada ya mashambulio na...
  5. 100 others

    Nilikuwa naikubali Israel kwenye cyber security, kumbe wachovu tu mbele ya Iran

    Israel ambayo ili hack kaspersky 2014 na kuwapa taarifa NSA kuhusiana na uvujishwaji wa taarifa unaofanywa na kampuni hio, inasemekana kaspersky ilikuwa ikishirikiana na FSB (KGB zamani) kudukua taarifa mbali mbali za watumiaji, baada ya hapo USA ika ban kaspersky kutumiwa kwenye vitengo vyoote...
  6. YEHODAYA

    Baadhi ya fani zenye ajira kubwa Duniani: Wazazi somesheni watoto nje Degree za Cyber Security na Aeronautical Engineering

    Kuna degree Tanzania hamna ila zina soko sana duniani, vijana wa PCM zinawafaa. Wazazi, mkiwa na pesa na mkiwa na watoto wazuri waliofaulu vizuri PCM pelekeni Ulaya au Marekani wakasome degree za Cyber Security na Aeronautical Engineering. Ni baadhi ya hot cake degrees, dunia nzima inawataka.
  7. Jamii Opportunities

    Head of Cyber Security at Vodacom

    Posting Country: Tanzania, United Republic of Full Time / Part Time: Full Time Contract Type: Permanent Joining Vodacom is more than a job, what we do matters. We don’t just carry minutes, texts and data – we carry people’s lives. And that’s a huge responsibility. If you think for a minute...
  8. Z

    Kuna yeyote aliyewahi kufanikiwa kupata simu yake iliyoibiwa kupitia Cyber Crime Unit?

    Wanajamvi, Nipo hapa kutaka kujua nakosea wapi. Mpaka sasa ndani ya miezi sita nimeibiwa /poteza simu tatu- smart phones. Simu ya kwanza nikairipoti polisi, Central Police, Dodoma kwa taratibu za kawaida za kipolisi pale Cyber Crime Unit lakini nikawa sina IMEI number hivyo nikaambiwa ndiyo...
  9. Dive

    ECONOMIC INTELLIGENCE-Bayer contains cyber attack it says bore Chinese hallmarks

    FRANKFURT- German drug maker Bayer has contained a cyber attack it believes was hatched in China, the company said, highlighting the risk of data theft and disruption faced by big business. Bayer found the infectious software on its computer networks early last year, covertly monitored and...
Back
Top Bottom