“Niwaambie Watanzania wenzangu hakuna Mtanzania awe Ndovu au sisimizi mwenye kusimama juu ya sheria hakuna aliye juu ya sheria, ukimdhalilisha mwenzako ukadhani kwamba utaendelea kupiga miluzi na kufurahia kana kwamba wewe umefika Duniani kama Kiongozi au ndio mkubwa au Mungu Mtu, Mahakama Kuu...
Cyprian Musiba, kulingana na kiasi kikubwa cha fedha anazodaiwa kuzilipa, kwa kupitia amri za mahakama kuu, ni nini madhara yake iwapo hana uwezo wa kuzilipa na hana mali za kuuzwa ili kupata Tsh 13 bilioni?
Mimi ninaona dalili za Cyprian Musiba kukimbilia ughaibuni .
Mahakama kuu ya Tanzania imetoa hukumu ya kesi ya kuchafuliwa jina iliyokuwa ikimkabili mkurugenzi mkuu wa gazeti la Tanzanite na mwanaharakati huru, ndugu Musiba dhidi ya aliyekuwa Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, ndugu Bernard Membe. Mahakama hiyo...
Mahakama Kuu leo inatarajiwa kutoa Hukumu ya Kesi inayomkabili Musiba na Mhariri wa gazeti la Tanzanite , ambao kwa pamoja wanadaiwa kumchafua Benard Membe kwamba alikuwa anamhujumu aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 , John Magufuli .
Membe anadai Mahakamani fidia ya Tsh Bil 10 .
===UPDATE===...
Mzuka wanajamvi
Kuna jamaa nilikuwa na mdai akawa ananikwepa tukakutana naye ghafla.
Nikamzuia na kumuambia anilipe. Jibu alilonipa lilizidi kunikera kwa kuniambia sina hela ukitaka niue basi au fanya chochote.
Sasa Shangazi ajiandae kabisa na majibu kama haya kutoka kwa 'short sighted'...
Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu.
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu.
Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.