Waziri wa mambo ya nje wa Cyprus bwana Constantinos Kombos, alitumwa kumwakilisha kamishina wa wambo ya nje katika umoja wa ulaya kuja Tanzania. Moja ya Marengo ya ziara hiyo ilikuwa ni kuangalia jinsi uchaguzi mkuu utakavyofanyika.
Ratiba ya awali ilionesha bwana Kombos angeondoka July 10...