Je inawezekana kwa familia ya wafanyakazi kuishi bila dada wa kazi au ni kujiendekeza tu?
Naongelea kwa nyumba yenye baba na mama tu na wote ni wafanyakazi muda wote wote wanakuwa kazini na hawana watoto.
Je una mifano hai ya walioweza kuishi wenyewe?
Yupo Dada anahitaji nafasi ya kazi za ndani .
Yupo Dar DSM
Kuhusu yeye
Ana age 18
Darasa la saba
Anatoka Mtwara vijijini
Dini yake Muslim.
Uzoefu kazini ni miaka miwili amelea mtoto alikuwa Zanzibar
Taarifa zake kuhusu boss wake wa zamani zipo pia
Familia yake ipo na unaweza wasiliana...
Kwanza hakikisha unampunguzia majukumu maana hutafuti mtumwa, nunua baadhi ya mashine mf. Mashine ya kufulia, zipo za laki 6 nzuri sana, mashine ya kudekia zipo za laki 4 nanusu nzuri sana. Ukiweza unaweza tafuta na yakuoshea vyombo ila hii si lazima.
Pili tafuta mdada ambaye hata wewe...
Wazee wa mahaba mpo?
Huwa sielewi ambavyo huwa kunakuwa na mjadala kuhusu dada wa kazi kufua nguo za baba mwenye nyumba au kupika chakula chake, yaani ishu ni nini?
Kama anafanya kazi nyingine ikiwemo kufua na kupikia wengine kama mna mtoto/watoto kwanini ni ishu zikifuliwa nguo za wenye...
Kila Kona nchini watu wamekuwa wakilalamikia Visa vinavyofanywa na Dada wa Kazi.
Visa hivyo hufanyiwa Watoto, na hata Ma Boss wenyewe waliowaajiri.
Wengine hufikia hatua ya kueleza kuwa pengine malezi yanasababisha visa hivyo kutokea.
Mfano wa Kisa kimoja huu hapa chini
Aisee! Nimeaibika wakuu mke wangu amenifuma nikiwa nimelala kwenye chumba cha dada wa kazi nikiwa naked tu ila sasa wife nimemuambia mimi nilikuwa chumba dada wa kazi nikijipumzisha tu na dada wa kazi alikuwa ananifundisha kilugha cha cha kabila moja la kanda ya ziwa lakini wife haniamini...
Utangulizi
lengo la nakala hii ni kutoa ushauri haswa kwa serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania dhidi ya namna gani tunaweza kupambana na vitendo vya ukatiri ulio shamiri kwa sasa katika maeneo tofauti tofauti dhidi ya dada wa kazi za nyumbani kwa familia wanazo zifanyia kazi. Mpaka ivi...
Kwa utafiti wangu mdogo nimegundua watu wengi hasa wanawake huleta dada wa kazi ndani ili kujionesha ati wana pesa kwa kuwa wana wasaidizi hawa.
Hivi hawa wadada wa kazi wanafanyaga jambo Gani la maana au gumu ambalo mwanamke asilifanyaje.
Yaani kulea, kulisha na kufulia mtoto hadi uajiri mdada...
Imeripotiwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari kuhusu Mtoto aliyechinjwa na Dada wa kazi. Watu wanaishia kulalamika tu bila kutoa suluhisho ya kitu gani kifanyike kupunguza huu ukatili Mkubwa kwa watoto wasio na hatia.
Tumeshuhudia hivi karibuni kukamatwa haraka kwa kijana aliyechana picha ya...
Mtoto Erickson Kimaro mwenye umri wa miaka nane anadaiwa kunyongwa na dada wa kazi Mei 31, nyumbani kwao Kimara Temboni jijini Dar es Salaam.
Msichana wa Kazi za ndani mwenye umri wa miaka 13 Mkazi wa kata ya Moshono jijini Arusha anadaiwa kumuua kwa kipigo mtoto wa Boss wake mwenye umri wa...
TANZANIA MPYA: KUANZISHA CHUO MAALUMU KITAKACHOTOA TAALUMA KWA DADA WA KAZI ZA NYUMBANI.
Ni wazi kuwa Viongozi wakubwa wa serikali walioko madarakani na waliomaliza muda wao wengi wao walilelewa na wazazi wao wote wawili hasa mama ambaye muda mwingi alikua nyumbani.
Na katika malezi haya...
Dada wa kazi anahitajika, eneo la kazi ni Dodoma. Majukumu ni kukaa na mtoto mmoja na kazi ndogo ndogo za nyumbani.
Posho yake ni 70,000/= kwa mwezi.
Awe anajitambua.
Tuwasiliane inbox 📥
Anaandika Boniface Jacob katika ukurasa wake wa X
Nimepokea taarifa mbaya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mafia inayohusu kiongozi mkubwa wa Halmashauri hiyo kumbaka mfanyakazi wake wa ndani (house girl) ambaye ana umri wa miaka 16.
Vyombo vya dola wilaya ya Mafia vyote vinafahamu lakini kwa...
Dada mmoja ambaye ni Shabiki wa Simba aitwae Semeni amesema kuwa amevunja ndoa yake baada ya kumbetia mume wake Dada wa kazi endapo Prisons ikiifunga Simba amchukue Dada wa kazi awe mke wake.
"Nilimbetia mume wangu kwa Dada wa kazi, nilipoona tumepata ushindi wa goli sita kwa bila kwa mechi...
Dada wa kazi za nyumbani anahitajika, nyumba ipo Kinondoni studio Dar es Salaam.
Kuna dada mwingine yupo anahitajika mwingine wa kusaidiana naye.
Kazi za kawaida za nyumbani na malezi ya Watoto.
Kazi sio ya kuja na kuondoka ni ya Kuishi apo apo.
Mshahara utakuwa makubaliano baina ya pande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.