Anamlalamikia kama ilivyo kawaida ya wamama kulalamikia karibia kila kitu. ila mimi sijaona sababu ya msingi ya kumtimua lakini najua nikimwambia si ajabu akadhani nnamtaka huyu dada
Habari wapendwa!
Samahani, natafuta dada wa kazi za nyumbani. atakuwa anaishi nyumbani. na nyumba ipo na mke pamoja mtoto tu.
Kigezo; Awe na miaka kwanzia 18 - 24, Mchamungu & anayejielewa.
Eneo: Dar es salaam.
Mshahara: Maelewano.
Mawasiliano: +255 676 797 679
Anahitajika dada wa kazi,awe na vigezo vifuatavyo.
A)Umri kuanzia miaka 18-25
B)Awe na uzoefu wa kazi za ndani, pamoja na kupika.asiwe mtu wa kuanza kufundishwa kazi.
C) Awe anatokea Singida, Manyara ama Mwanza.
D) Awe na mdhamini anaye tambulika in case of anything.
E) Awe muaminifu na mwenye...
Habari wakuu,
Kumekua na hii tabia inayokuwa kwa kasi inayofanywa na wadada wanaofanya kazi za nyumbani. Tabia ambayo imegharimu na inaendelea kuwagharimu watu, hivyo wanajamvi muwe makini na watu hawa mnaowachukua kwa lengo la kusaidia kazi za nyumbani.
Iko hivi, utakuwa na uhitaji wa kupata...
Habari ya jumapili wadau.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, ninaomba msaada wenu tafadhali.
Nina dada ambaye ana umri wa miaka 19(lakini kimuonekano anaonekana ni mkubwa), lakini dada huyu hajui kazi za ndani iwe kuosha vyombo, kupiga deki au kupika.. Alipofika alielekezwa majukumu yake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.