dada

  1. Behaviourist

    Dada Janet

    Dada Janet Jackson amekuwa mkubwa akawa mzuri zaidi.Wewe dada Janet wewe!😍😍😍 Halafu ukimwona unaweza kufikiri kuwa anatokea hapo kwa akina Mtogole kwa jinsi alivyo mpole na humble. Dada wa watu ni mzuri,mpole,mkarimu na humble🤗🤗🤗
  2. M

    Tuliambiwa kuwa Idi Amini alikuwa dikteta wa hatari

    Nashindwa kujizuia hili jamaa kuliita Dume na Mwamba wa Afrika Tuliambiwa kuwa Idi Amini alikuwa dicteta wa hatari, anakula watu, anakula damu za watu na mambo mengi yanayofanana na hayo lakini siku zinavyozidi kwenda inakuwa tofauti sana. Baba zetu na mama zetu walimuimba sana mashuleni...
  3. tpaul

    Ushahidi kuntu kuhusu utapeli uliojificha ndani ya biashara ya dada wa kazi (house girls)

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Dada wa kazi wa kizazi hiki ni zaidi ya majanga. Ndugu zangu, wasichana wa kazi za ndani (house girls/maids) ni hitaji muhimu sana kwa familia nyingi za mijini, hasa wale wanafamilia wanaofanya kazi zinazowalazimu kuamka asubuhi na kurejea jioni. Ni kwa sababu...
  4. Da Vinci XV

    Huyu dada kanichukuliaje?

    Wasalam, Imebidi niingie kwanza Restraurant moja niagize Sharubati moja baridi na Maridhawa kupooza koo huku nikicharaza keybord za simu yangu kwa ajili ya huu uzi kutokana na Mchomo wa jua ukiongeza tukio lililonikumba punde kutoka kwa Huyu Bidada umri 23-27 Nmejitazama kwenye kioo mara tatu...
  5. sky soldier

    Dada yangu ananipa hasira, alikimbia ndoa baada ya mwaka sasa yupo kwa wazazi

    Ni dada yangu wa tumbo moja. Baada ya muda mrefu huku miaka ya kuplewa ikiwa ukingoni, alipata bahati ya kuolewa na kijana msataarabu kabisa, hakika ilikuwa kama muujiza ila dada akakimbia huku ndoa kwa sababu ambazo hadi leo zinaonyesha alimsingizia tu mme wake wazi wazi ilomradi aondoke...
  6. Poppy Hatonn

    Huyu dada ni kada wa CHADEMA?

    Tafadhali naomba anieleze anayefahamu. Huyu dada ndiye yule kada wa CHADEMA mtaalamu wa Katiba?
  7. Chakorii

    Ninatafakari sana juu ya upasuaji wa miili (marekebisho) ya akina dada matokeo yake miaka kadhaa mbeleni baada ya upasuaji huo

    Habari watu wangu wa nguvu..mnaendeleaje!(nimewahamu)😊 Aiseh mbona hamtoi mialiko ya hii public holiday jamani😉fresh lakini😁 Sawa turudi kwenye mada husika. Ni kwa muda kidogo nime kuwa nikitafakari tunakoelekea miaka kadhaa mbele watoto wetu watakutana na changamoto zipi Hapo baadae...
  8. MALCOM LUMUMBA

    Dada wa Kikenya kampa Rais wa Ufaransa vidonge vyake bila kumung'unya maneno

    Kwanza naomba niseme wazi kabisa Mimi ni kati ya binadamu wanaochukia uonevu na unyonyaji wa binadamu mmoja dhidi ya mwingine. Ile hali ya kuhisi kwamba wewe ni bora na mtu wa maana kuliko wengine (Grandiosity and Megalomania) huwa inanifanya nichafukwe na nyongo sana. Mambo maovu kama ukoloni...
  9. T

    Peter Kupaza, Mtanzania aliemuua dada yake nchini Marekani

    Mimi ni mpenzi wa makala ama documentaries, leo wakati naangalia documentaries za The New Detective, nikakutana na stori ya Mtanzania Peter Kupaza ambae alimbaka na kumkata kata vipande dada yake na kuvitupa mtoni huko nchini Marekani na hatimae akakamatwa na kuhukumiwa Maisha. Kuna hii story...
  10. KENZY

    Dada zetu mnapotongozwa muwe na maneno ya staha

    Nijipinde kukutongoza wee nitumie muda, nguvu, akili nipangilie maneno ya kukushawishi.. halafu kirahisi tu uniite mimi konokono!!! Serious Mimi konokono! mjiheshimu bhana inauma.
  11. kindikinyer leborosier

    Tupeane ujuzi: Kabla ya kuoa, dada zetu na mama zetu wanayapokeaje mawazo ya sisi kutaka kuoa?

    Habari wanajamvi, poleni na majukumu ya kila siku! . . niende moja kwa moja kwenye mada, kwa mara ya kwanza kusema nyumbani kuwa unataka kuoa, dada zako na mama walichukuliaje?. . . binafsi mimi ni kijana wa miaka 30 kwa sasa, nina mchumba tayari, lakini imekuwa kila nikisema nyumbani hata kwa...
  12. Mdada96

    Tahadhari: Uporaji kwa wanaopewa lift na magari binafsi waibuka

    Hello Wapendwa haswa kina dada kuna tabia imeibuka currently mjini humu DSM, sijajua kwa mikoani. Gari haswa hizi private zina offer lift waweza dhani ni msamaria mwema lakini ni wezi ukiingia humo hatujui nini wanakufanyia ila kama una kadi ya benki utawapa na password utatoa, simu na pochi...
  13. mkenya wa kova

    Kwa tuliowahi kuibiwa na ma dada poa au malaya tukutane hapa

    NDUGU ZANGU... Mnamo mwezi wa sita mwaka huu nikiwa nchini kenya.baada ya kuzunguka katika kaunti zake kazaa kikazi nikitokea dar es salaam tanzania (si mara yangu ya kwanza kwenda kenya) nimejikuta niko kaunti ya kisumu.nimekaa katika kaunti tangu tareh 20 mwezi wa saba,nimeondoka juzi tareh...
  14. green rajab

    Dada mtu anamtafutia wifi yake bwana

    Katika hali isiyoendana na maadili yetu ya Kiafrika Best angu kaja kunipa story kua mke wake alienda kumsalimia wifi yake ambaye dada wa best angu dukani kwake katika mazungumzo yao wifi akaanza kuelezea maisha yake ya ndoa na mumewe ambaye wameoana muda tu na wajaaliwa kupata watoto wa 3 ila...
  15. Lupweko

    Dada (Barbra) anaupiga mwingi

    Picha inajieleza kwa hisani ya blogu ya Saleh Jembe
  16. N

    IPhone13 na dada zetu

    Yaan naumia sana kwa sisi wavulana/wanaume kuona wadada zetu hawawezi kujitegemea mpaka now tuna wadharirisha mitandaoni 😭 ili sio vizur na aileti picha nzuri katika jamii serious. Please tuache hii tabia. Na pia wakina dada msijirahisishe sana ni ushauri tu. Note ushauri unaweza kuhufata au...
  17. S

    Ninon Marapachi, Dada Mtanzania anaydongoza kitengo Bank Of America New York

    On Resilience: How Ninon Marapachi Went From Poverty In Tanzania To Wall Street Domination Ninon Marapachi is the head of the Hedge Fund Business at Bank of America within the Global Wealth Investment Management division. Whew – long title. Having that much title at one of the biggest banks in...
  18. Maji Chai

    Anatafutwa dada wa kusupply matunda maofisini

    Habarini ndugu zangu, kuna ndugu yangu anatafuta mdada ambaye atakuwa anamsaidia kusambaza matunda maofisini,ila awe anakaa Dar. Kwa mdada yeyote atakayekuwa yupo tayari awasiliane nae kupitia 0766281783
  19. R

    Kwa anayehitaji dada wa kazi anicheki

    Habarini wakubwa, Kama kichwa kinavyojieleza. Nilikua namtafutia mtu dada wa kazi kwa bahati nzuri nikapata contacts za wadada 5 wa ziada walikua wanatafuta kazi. Kuna ambao wapo Dar na wengine mkoa. So kama kuna mtu anahitaji anicheki PM nimuunganishe naye/nao. ANGALIZO: Mimi sio dalali...
  20. Sky Eclat

    SoC01 Dada alivyohitimisha maisha ya ndoto yake

    Anaitwa Bahati, tangu akiwa mdogo alishaamua atapambana na maisha na kuboresha maisha ya familia yao. Baba yake alikua Mchungaji wa kanisa, mama mwalimu. Wakizaliwa sita na kati ya hao wa kike walikua wanne. Baba yao alipokea wageni wengi wa kanisa kutoka nchi mbalimbali. Kuna wakati...
Back
Top Bottom