Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Tabora na Katavi kuwa na ushirikiano kati yao, Serikali, Vyama vya Siasa na wadau wengine wa uchaguzi.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa)...
Naomba kufahamu in lini hili zoezi linaanza rasmi kwakuwa tulishatuma maombi ya hii kazi ila mpaka sasa kimya na sisikii chochote.
Daah!!! Kweli ajira ni shida sana
Kitambulisho cha kupigia kura kina changamoto kidoogo. Jina lilikosewa herufi Moja tu. Now Nipo nafuatilia mafao yangu ya NSSF. Kukosewa huku kwa jina kunaweza kuleta changamoto kubwa sana na pengine nikashindwa kupata mafao.
So, nahitaji kukutana na hawa wahakiki wa daftari la wapiga kura Ili...
Ndugu wanajukwaa, natumaini mnaendelea vizuri katika harakati za hapa na pale za kujikwamua kiuchumi.
Bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye hoja husika:
Siku za nyuma hivi karibuni Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ilitangaza nafasi ya kazi ya muda mfupi kwa ajili ya Uboreshaji wa Daftari la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.