Zaidi ya watu 140,000 wanatarajiwa Kuandikishwa katika Daftari la kudumu la Mpiga kura Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
Tanzania ni nchi ngumu sana kuishi kwa watu wanaojielewa yaani ukitafuta majina ya walioitwa kwenye usaili wa uboreshaji wa daftari la wapiga KURA mwaka huu kwenye website nyingi za halmashauri mbalimbali nchini utakutana tu na barua ya watu kuitwa kwenye interview tu na
Hautokuta pdf yenye...
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Zainab Khamis Shomari ahimiza wananchi kujitokeza kujiandikisha katika daftari la Wapiga Kura.
Soma Pia: Kusini Unguja: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Mkuu 2025
Zainab ametoa wito huo leo Februari 9, 2025...
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mkutano wa wadau mkoani Pwani leo Februari 01, 2025 ambapo ametangaza ratiba ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye mkoa huo ambao utafanyika kwa siku saba kuanzia...
Wanabodi,
Baada ya pilikapilika za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeendelea na zoezi imeendelea na mchakato wake wa kuboresha daftari la kudumu la mpiga kura
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu), Mbarouk Salim Mbarouk tarehe...
VIONGOZI wa dini mkoani Arusha,wameridhishwa namna Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi nchini(INEC),inavyoshirikisha makundi mbalimbali kwa kuyaelimisha na kupokea maoni ya uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura awamu ya kwanza zoezi litakaloanza Disemba 11 hadi 17 mwaka huu.
Hayo yamesemwa...
Mpiga kura Mtaa wa Mwatulole katika kituo cha kupigia kura Mwatulole Center ambaye awali alilalamika kutoona jina lake, hatimaye amekiri mbele ya msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Geita Mjini, Yefred Mnyenzi kuwa jina lake limeonekana na ametimiza haki yake.
baada
daftarilawapigakura
geita
hatimaye
jina
kuelekea 2025
kupiga kurakura
lge 2024
mkali
msimamizi
msimamizi wa uchaguzi
mtifuano
mvutano
tamisemi kusimamia uchaguzi
uchaguzi
uchaguzi serikali za mitaa 2024
uchaguzi wa serikali za mitaa
wapigakura
Nimekutana na orodha ya wapiga kura Ktk kata nyingi za mkoa wa Katavi, ndugu wanashangaa marehemu wao ni wapiga kura. Leo sehemu nyingi wamebandua majina kuepuka aibu baada ya kuona wananchi wanazomea.
Halafu Waziri unaleta usanii kwamba wananchi wamejiandikisha wengi ili kumfurahisha Rais. Hii...
Zoezi la Uandikishaji Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa 2024 Lakamilika: Je, Wananchi Wanasemaje?
Mnamo Oktoba 20, 2024, zoezi la Uandikishaji wa Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa limekamilika rasmi Tanzania. Zoezi hili muhimu ni hatua ya kwanza kuelekea uchaguzi...
Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa umefanywa ‘kihuni sana’ hapa Songea
Moja ya changamoto kubwa ambayo niliiona katika mchakato wa Uandikishaji Wapiga Kura katika Daftari kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mtaa ni Wananchi wengi kukosa elimu ya mchakato huo, hilo likachangia...
UVCCM MOROGORO WAHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji Mkoa wa Morogoro (UVCCM) wametembelea Wilaya zote za Mkoa wa Morogoro kwa lengo kubwa la kuhamasisha Wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura wa...
Karani wa uandikishaji wa mtaa wa Kabambo huko Mwanza amebanwa baada ya kugundulika ameongeza majina hewa takribani 200 kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Teknolojia imezidi kufichua mbinu za zamani za kuhujumu uchaguzi kwa kuongeza wapiga kura hewa kutoka...
MHE. WANU HAFIDH AMEIR AJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Wanu Hafidh Ameir amejiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa linaloendelea nchi nzima tangu...
Nlitegemea kuwe na nguvu moja kupinga madudu yanayoendelea katika daftari la kuandikisha wapiga kura katika chaguzi zijazo. Je Vyama hivi havioni mapungufu/maovu/madudu/wizi unaofanyika katika daftari la wapiga kura ?
Mbona wamekaa kimya? What logical deductions can be made from such silence...
Katika kata ya Qurus, Wilaya ya Karatu, hekaheka za uandikishaji wa wapiga kura kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27 ziliendelea, lakini hali ilikuwa ya kioja. Mussa, msimamizi wa kituo na Mratibu wa Elimu Kata, alikabiliwa na malalamiko makali kuhusu uandikishaji wa majina ya...
Faida ya Mtanzania kujiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa viongozi wa Serikali ya kitongoji, mtaa, na kijiji ni pamoja na:
1. Kuchagua viongozi bora: Inatoa nafasi ya kuchagua viongozi wenye uwezo wa kuleta maendeleo na kushughulikia maslahi ya jamii.
2. Kuhakikisha uwakilishi wa...
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameongoza zoezi la uhamasishaji kwa Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuendelea kujitokeza katika vituo vya kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura ili waweze kutimiza haki yao kikatiba ya kushiriki katika uchaguzi...
Jimbo la Rungwe ,Mkoani Mbeya, Kata ya Iponjola kituo Cha Iponjola kipo katika Jengo la CCM kinyume na kanuni.
Huu uhuni ni Kwa sababu CCM imechokwa na wananchi huko chini na haikubaliki! Wameamua kufanya Kila aina ya fujo ilimradi waweze kushinda Kwa njia za hujuma !
Tutaenda nao hivyo hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.