Katibu wa CHADEMA kata ya Tabata, Jacob Emily inadaiwa ameumizwa alipokua akiyazuia majina yaliyoletwa na watu wa CCM yasiingizwe kwenye daftari la uandikishaji wapiga kura. Watu wa CCM inadaiwa wakamvamia na kumjeruhi.
Inasemekena Polisi - Tabata walikuwapo karibu kabisa, Wametulia tu...
Leo Oktoba 11, 2024, Rais Dkt. Samia anaongoza watanzania katika zoezi la kujiandikisha katika daftari hili ili kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.
https://www.youtube.com/live/oreFWNwWmTY?si=mpNgbVFGvb8Q81HQ
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa...
RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI ZOEZI LA KUANDIKISHA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atazindua rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa mnamo tarehe 11.10.2024 Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma.
Taarifa hiyo...
daftarilawapigakuradaftariwapigakura
dodoma
kuelekea 2025
lge 2024
rais samia
serikali za mitaa
uandikishaji daftariwapigakura
uandikishaji wa wapigakura
uchaguzi serikali mitaa
uchaguzi serikali za mitaa
uchaguzi wa serikali za mitaa
Wakuu,
Nimekuwa nikianzisha nyuzi humu kuhusu mchakato wa kuandikisha wananchi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura unavyoendelea kule Zanzibar.
Kusema na ukweli tu, mchakato umepoa sana. Hakuna shamrashamra na hamasa kivile kwa wananchi.
Hamna social media campaigns, matangazo ya...
Hiki kinachoitwa kujiandikisha katika daftari la wapiga kura kwa raia wote waliokidhi vigezo na wanaohitaji kupiga kura ni aina fulani ya kituko na jambo lisilo na tija yoyote katika demokrasia zaidi ya kupunguza ushiriki wa raia katika uchaguzi kwa urasimu wa ajabu ajabu tu.
Pia ni upotezaji...
Wananchi mkoani Manyara wameaswa kujitokeza kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwakuwa hiyo ni haki yao kisheria.
Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bi. Giveness Aswile wakati...
Habari wananzengo,
Tumesambaziwa barua na Chama cha Mapinduzi kutuomba kuchangia kuboresha zoezi la kulipa kura, lakini mie nahisi harufu na rushwa na kupigwa maana daftari ya kupiga kura inaboreshwa na Tume, iweje chama ndiyo kituletee barua.
Naomba kusaidiwa. OR TAMISEMI
Walisema tembea uone mengi pia uliza ujifunze.
Katika zoezi la CCM kusajili wanachama wake, kuna mengi wananchi wanaojitokeza kuandikishwa hawajui au wamefichwa. Wengi wanaenda na kadi za tume ya uchaguzi wakitaka kuandikisha taarifa zao na kukuta watu wamevaa sare za chama.
Hapo huambiwa...
Zoezi la uandikishaji wa wapiga kura (INEC) halijaamasishwa sana, isipokuwa kwa viongozi wa CCM waliwaambia wanachama wao wahakikishe wanapata kadi za kupiga kura.
.
Ni mpango kabambe vijana wengi wasijiandikishe ili zoezi la upigaji kura liwe rahisi kwa CCM.
Matangazo hayatolewa kwa wingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.