dakika

20 Dakika ("20 Minutes") is a Turkish television drama series broadcast on Star TV. This story talks about a beautiful family. A father, mother, daughter and a son that lived together in happiness and peace. One day, the police stormed in and took the mother (Tuba Buykustun) to jail. She was suspected of committing a murder and sentenced to 20 years in prison. Her husband (Ilker Aksum) tries to prove her innocence while at the same time the criminal investigator (Firat Celik) tried to find as much evidence as he can to find out the truth. But the big question is did she really commit the murder?

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Mrisho Gambo acha kutamba maadui zako wakiamua kukupata ni mara moja tu!

    Kwa mfano unavyopenda mara kwa mara kwenda kwa Rafiki yako mkubwa mwenye Media yake nyuma ya Kebby's Hotel Bamaga na jinsi ile njia ilivyo na Giza na Ukimya ule Wakikuamulia Watakukosa? Nimeshangaa na Kusikitika kuona mahala fulani kwa Nyodo na Jeuri kabisa ukitamba na kusema kuwa hawakuwezi na...
  2. GENTAMYCINE

    Msemaji wa Yanga SC Ali Yanga SC je, baada ya Kipigo cha Leo na Ihefu FC tuendelee Kushangilia kila Dakika?

    Nitarudi hapa Saa 4 Kamili Usiku leo na wana Yanga SC mtanikoma.
  3. GENTAMYCINE

    Dakika 5 zimeongezwa za nini katika Mechi ya Ihefu FC na Yanga SC inayoendelea?

    Marefa wa Tanzania ni Wapuuzi na Wanafiki mno tu na Wanatumika vibaya sana. Tegemeeni Goli kusawazishwa ili Kuibeba Yanga SC isifungwe na Unbeaten Record yao iendelee. Hizi dakika 5 zimeongezwa za nini?
  4. NetMaster

    Hawa ni marefa wa rede au? Dakika 4 zinaongezwa iweje Refa anauchuna mpaka dakika 11

    Hii kitendo cha refar's kujiongezea dakika hata kama walipoteza mda hii sio sahihi kabisa refa anatakiwa afungiwe huu Sasa sio mpira ni rede, Dakika 90 zimesha unaongeza 4 ni ruksa na sio zaidi ya hapo, Refa we unajiongezea kama nani?😢 Wewe kama ni Yanga au Simba vuta picha mechi ya Derby...
  5. Daktari W Sindabhalla

    Goli 1 baada ya dakika 45 za tendo la ndoa

    Salaam wana JF. Awali ya yote, niseme kwamba, Raha ya Mechi ni ule udambwidambi, vyenga vya kutosha na Magoli ya kiufundi. Binafsi, Uzoefu wangu ktk tendo la ndoa, goli la kwanza huwa naliingiza nyavuni kabla ya dk 5 kuisha then najiweka sawa kwa round ya pili na 3. ambazo huchukua si...
  6. NetMaster

    Mchezo wa Ureno na Ghana kuongezewa dakika kumi kuna nini kinatafutwa?

  7. TODAYS

    Dr. Bashiru kaongea dakika anajibiwa wiki

    ☝🏾Ukipenda muite Dr. Bashiru Ally Kakurwa Anatibu upele, harara, Surua, Kaswende Gono na muwasho kwenye ngozi. Kaongea kwa dakika moja ila anajibiwa wiki nzima, kaongea sehemu moja anajibiwa nchi nzima. Mpaka sasa Bashiru kajibiwa na CCM karibia nchi nzima. Na hawajibu alichozungumza ila...
  8. Nigrastratatract nerve

    Mawakala wa wanyonyaji hawawezi hata kuwa wanafunzi wa Dkt. Bashiru yaani hawajui kwamba Bashiru anasimamia ilani ya CCM

    Ilani ya CCM inasema kwamba CCM itapambana na Rushwa na ufisadi kwa nguvu zake zote Sasa Hawa mawakala wa wanyonyaji wanatoka chama gani kama siyo ushamba tu wanaoulekeza yaani watu wengi ukifuatilia hawana hata elimu. Maana kumpinga Bashiru ni kujitoa ufahamu. Bashiru anawaeleza wazi wazi kuwa...
  9. GENTAMYCINE

    Rais wa Yanga Hersi na Msemaji Kamwe wana Yanga SC, tunauliza tukiwa Tunisia tusimame Kushangilia dakika ya ngapi?

    Nimehakikishiwa kuwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Msemaji wa Yanga SC Ally Kamwe nyote mnanisoma na kunifuatilia Kutwa ( 24/7 ) GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo natumai mtanijibu mwana Yanga SC Mwenzenu hili Swali langu. Cc: Ulimakafu
  10. Dr Matola PhD

    Hivi ni sahihi kiongozi kwenye hotuba yake kutumia dakika 10 kutambua itifaki ya waliopo?

    Sijui Mimi ndio sielewi au ndio utaratibu au ni ujinga wetu wa kiitifaki Africa? Unakuta kiongozi anapanda kwenye podium wanatumia dakika mpaka 10 kutambuwa itifaki wakati hotuba yake yenyewe ni kama ya dakika saba tu. Na point yangu hapa kama itifaki ingekuwa ni ya kumtaja Rais tu na kusema...
  11. Shujaa Mwendazake

    'Tuliishi kwa hofu ya vita, walituambia tungekufa chini ya dakika 30': Jinsi ulimwengu ulivyonusurika kwenye Cuban Missile Crisis

    Zaidi ya nusu karne baadaye, inahisi kama ulimwengu umesahau masomo ya wakati huo wa ajabu katika historia ' Mnamo 1961, Amerika ilituma makombora ya masafa ya kati ya Jupiter huko Türkiye, silaha ambazo zingeweza haraka - na kwa urahisi - kufikia miji ya magharibi mwa USSR, pamoja na mji mkuu...
  12. Diversity

    SI KWELI Mchezaji Thomas Langu Sweswe alicheza mpira dakika 90 bila kugusa mpira

    Thomas Lungu Sweswe ni mchezaji wa zamani wa Zimbabwe, beki wa kati anadaiwa kushikiria rekodi ya kucheza dakika 90 dhidi ya Keiza Chiefs bila kugusa mpira Soma (hapa).
  13. Sildenafil Citrate

    CDC: Dakika 150 za mazoezi mapesi zinafaa kwa wiki

    Kwa mujibu wa Kituo cha Udhibiti na Kinga ya Magonjwa Cha Marekani (CDC), mtu mzima anashauriwa kushiriki mazoezi mepesi kwa walau dakika 150 kwa wiki. Mazoezi huongeza utimamu wa afya ya mwili na akili, ni jambo jema katika kujikinga na maradhi ya mwili, hasa yale yasiyo ya kuambukiza...
  14. Unavoidable Servant

    Maneno ya mashabiki wa Simba baada ya dakika 90 za mchezo wa leo

    Leo Yanga inakwenda kuonesha kwa vitendo maana ya uwekezaji kwenye soka ni nini? Baada ya Al hilal kupigwa kama ngoma mashabiki wa Simba watasikika wakisema hii Al hilal ni Zalan iliyochangamka tu. Sasa na wewe waulize wale waliopigwa mbili mbele na nyuma na Fiston Mayele kwenye ngao ya jamii...
  15. JanguKamaJangu

    Wenye mahitaji maalum waongezewe dakika mitihani ya darasa la 7, kesho Oktoba 5, 2022

    Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA), Athumani Amasi, amewataka wasimamizi wa mitihani ya darasa la saba inayoanza kesho Oktoba 5, kulinda haki ya watahiniwa wenye mahitaji maalum kwa kuwapatia mitihani yenye maandishi ya nukta nundu kwa wenye uono hafifu. Na kwamba watahiniwa...
  16. BARD AI

    Instagram kuruhusu video za dakika 1 kwenye Insta Stories

    Instagram inaongeza kikomo cha urefu wa video zinazoshirikiwa kwenye kipengele chake cha Hadithi kutoka sekunde 15 hadi dakika 1. Hapo awali, video za dakika moja zilizoshirikiwa kwenye Hadithi za Instagram zingegawanywa katika klipu za sekunde 15 lakini jukwaa linalomilikiwa na Meta linasema...
  17. BARD AI

    Floyd Mayweather ashinda pambano la dakika 9 na kuondoka na Tsh. Bilioni 46.9

    Bondia Floyd Mayweather leo amerudi ulingoni dhidi ya Bondia Mjapan Mikuru Asakura katika pambano la maonesho la uzito huru lililochezwa Japan. Katika pambano hilo Mayweather amefanikiwa kushinda kwa KO round ya 2 na kufanya pambo hilo limalizike, Mayweather kabla ya pambano hilo alikuwa...
  18. FRANCIS DA DON

    Njoo nikupe degree ya Banking & Finance ndani ya dakika 5

    Ukiweza kuelewa huo mchora basi degree umeashaipata.
  19. D

    Dakika 90 leo, kufahamika Geita Gold CAF

    Geita gold walipoteza mchezo wao wa ugenini kwa kuruhusu goli 1-0 dhidi ya Hilal Alsahil, leo ndio siku ya marudiano je? Hilal Alsahil warndeleza moto ama Geita watalala yoooo? tusubiri dakikak 90.
  20. Nyuki Mdogo

    Nauza "Usafiri" wa fasta, Mwanza to Dar ni dakika 15 tu!

    kumekucha kazi zimeanza jamani Bei elekezi ni milioni 5. hamna nafasi ya punguzo. 91km per minute. karibuni sana kina Mshana Jr
Back
Top Bottom