Katika kada inayoongoza kwa kulaumiwa na kuonewa ni afya. Sasa viongozi wa kada hiyo ni madaktari maana ndio moyo. Nataka kujua, wanalipwa kiasi gani mpaka wanaonewa kiasi hicho?
Tulinganishe na watumishi mfano wa WCF, NSSF, PSSSF, TRA, TISS bila roho mbaya wala husda, nani anafanya kazi...