Daktari (Swahili for "doctor") is an American family drama series that aired on CBS between 1966 and 1969. The series is an Ivan Tors Films Production in association with MGM Television starring Marshall Thompson as Dr. Marsh Tracy, a veterinarian at the fictional Wameru Study Centre for Animal Behaviour in East Africa.
MFAHAMU DAKTARI ALIYEGUNDUA DAWA ILIYOTIBU UGONJWA HATARI WA POLIO NA HATI MILIKI YA DAWA HIYO LIKAPEWA JUA.
Jonas Salk alikuwa mtafiti na mgunduzi wa dawa ya ugonjwa wa polio alizaliwa October 28, mwaka 1914 New York , marekani .
polio ni Ugonjwa wa kuambukiza kutoka kwa mtu mmoja kwenda...
Moja ya maamuzi muhimu ambayo yatafanywa na Serikali na kimsingi yanachochea tabasamu zaidi kwa mamilioni ya watanzania ni hili la BIMA KWA WOTE ama 'Bima kwa kila Mtanzania.'
Nimefarijika sana kuona hata waziri mwenye dhamana ya Wizara ya Afya Nchini, Dkt. Gwajima kuthibitisha kwamba zaidi 85%...
Kumekuwa na mkanganyiko kati ya hizo kada mbili. Ubishi unakuja kwenye swali:" Je, mhitimu wa diploma nae ni daktari?". Nimecheck maandishi ya Ofisi ya Rais Tamisemi na pia yale ya Benjamin Mkapa Foundation na nilichogundua.
1. Daktari hutumika kuwaita wale wenye degree ya MD na nyingine...
BAADA YA MIAKA HAMSINI;TUTAMPATA TENA MWALIMU JULIUS NYERERE,EDWARD MORINGE SOKOINE NA DAKTARI JOHN POMBE MAGUFULI.
Leo 18:00hrs 03/10/2021
Ni nadra sana kupata viongozi wanaoibadili dunia kutokana na falsafa zao na misimamo yao,katika kada mbalimbali ikiwemo siasa, biashara,taaluma,dini na...
Mashabiki wengi kipenzi wa mpira wapo hatarini kufa au kuathiri afya zao kutokana na magonjwa ya moyo, Kiharusi na matatizo ya kisaikolojia kwa mjibu wa utafiti uliochapishwa katika jarida la Current problem in cardiology na katika jarida la Stress and Health mwaka 2020.

#Picha | Mwanaspoti...
Kwanza nami nalaani alichokifanya yule Bw Dokta.
Baada ya lile tukio nimesikia matamko mbalimbali ya kulaani ambapo miongoni wao ni Madaktari wenzake....na nadhani hata bado kuna mchakato wa kumuadhibu kwa kukiuka maadili.
Baadae nikakumbuka ya kuwa kuna wakati Madaktari huamua kugoma, na hapo...
Huyu ni daktari mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 50 katika nyanja ya tiba za asili, na haya ni mawazo yake juu ya chanjo ya Corona. Kwakuwa kila mtu ana uhuru wa maoni, basi naomba tumsikiliza ana nini cha kutueleza. Video ipo chini
Mwezi uliopita nikiwa jikoni naandaa chakula cha jioni kwa ajili ya familia kulitokea ubishani mkali kati yangu mimi na mwanangu Mcdonald kuhusu umuhimu wa yeye kunawa mikono akitoka kwenye michezo yake katika mabishano hayo kijana wangu alijaribu kubishana na mimi asiamini chochote...
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Martine Shigella ameamuru daktari katika Kituo cha Afya cha Mikumi (jina tunalo) akamatwe akituhumiwa kusababisha mjamzito ajifungue akiwa kwenye pikipiki ya matairi matatu maarufu kwa jina la bajaj.
Shigella alitoa agizo hilo aliposikiliza kero za wananchi wakati wa...
Askofu Gwajima, tuwaache wataalam wetu wa maswala ya Afya wanapoendelea kutoa Maelekezo mbali mbalimbali juu ya kujikinga na janga hili la Corona likiwepo swala la Chanjo.
Ndio maana hata Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kila anapotamka swala la ugonjwa huu wa Corona anasisitiza tusikilize...
Jana Alhamisi muda wa saa 5 usiku hivi nikiwa natafuta Station za Radio nikaangukia Kiss FM 98.9, niliposikia neno "PID" ikabidi nisikilize kidogo kinachoongelewa maana nami nipo kwenye uwanja huo huo wa mambo ya Afya..
Nilipigwa na bonge la mshangao kwa yale niliyokuwa nikisikia,, maana...
Hii ni kufuatia wananchi kuonesha shaka kuhusu afya ya Rais wao aliyepo madarakani kuonesha ana changamoto kubwa ya kumbukumbu.
Na sasa pia daktari bingwa Ronny Jackson aliyewahi kuwa daktari binafsi wa marais Barack Obama na Donald Trump walipokuwa madarakani, kuona ni muhimu Rais Joe Biden...
Habari za asubuhi wadau wa Afya, natumaini mko salama.
Niende straight kwenye mada.
Mwanangu wa kike anaumri wa miezi mi4, sasa takribani mwezi na wiki2 zilizopita alitokewa na vipele kama vi4 chini ya kwapa kuelekea mgongoni.
Vipele hivyo ni kama vimevujia damu na chaajabu havimuumi ila kama...
Habari za Jumapili. Poleni kwa majukumu na pole kwa Mashabiki wenzangu wa SIMBA ila safarii bado.
Nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa miaka 5 sasa (2016-2021) ila shida inakuja kwenye Simu yakee, hataki niishike na nikiishika nakuwa natumia nguvu sana, na anasema hataki nimkague ila...
Wananchi mjini Makambako wameiomba serikali kutoa ufafanuzi kuhusiana na mabadiliko ya utoaji wa huduma za afya katika kituo cha afya Makambako baada ya watoto chini ya miaka mitano kutakiwa kulipia fedha ili waweze kupatiwa matibabu.
Wakizungumza na mwandishi wetu baadhi ya wanawake mjini...
Salama Wana Mapinduzi wa JF?
Ndugu zangu huko Duniani kwa sasa ni Viongozi wa Dunia wanavyomuenzi Mpendwa Wetu Hayati John Pombe Joseph Magufuli kwa kuelezea Uimara na Misimamo Yake thabiti katika Kuunganisha Taifa Letu na Mapinduzi Makubwa ya kiuchumi.
Link hii hapa chini karibu tufatilie...
bujibuji masamaki
daktari
gfsonwin
hayati
john
king'asti asprin
magufuli
malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli
mmoja
mwezi
pombe
umoja wa mataifa
Dkt. Hassan Doulla, ambaye ni Daktari Bingwa wa magonjwa ya watoto amefariki dunia. Kwa wale wazazi wenzangu wakaazi wa Dar es Salaam bila shaka mlipata kufika au kushauriwa kufika kwenye Hospitali ua Dkt. Massawe ili kupata huduma, bila shaka mnamkumbuka Dkt. Doulla(Dulla) kwa ushauri wake...
Madiwani wa halmashauri ya Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro wamewafukuza kazi daktari na muuguzi wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tumuma za kumtoa mgonjwa wodini na kumpeleka nyumba ya kulala wageni na kumfanyia ya upasuaji wa tezi dume.
Wakizungumza leo Jumanne 9 katika baraza kikao cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.