Wana body,
Naomba kutoa duku duku langu kuhusu huyu jamaa anayejiita Daktari wa Kanumba kama ni daktari kweli au he is just an imposter anaye pose kama daktari na luckly Kanumba akamuaminia na kumfanya ni daktari wake!
Japo bado sijafanya search yoyote kuestablish authenticity ya udakitari...